johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa....... Tunakumbushana tu!wewe ulivyofungua huu uzi kujadili hili inamaana umesahau kuwa kesho ni siku ya mwisho kuchukua form???
hivi huu utapiamlo haya madhara yake yatakuandama hadi siku ya kufa??
Mkuu sina upande. Wenye upande ni vigumu sana kukuelewa kwani wanakuwa wamesha kunywa maji ya bendera zao.Mapoyoyo wako upande wenu huko!!!
....kama haukufika !?Muda wake ulifika?
Wewe ndo umesema !Hatimaye uchafu wote kufichwa
Tuna safari ndefu sana awamu hii.
Miezi kadhaa? Unafikiri ni qt hio?Kwan CPA inatafutwa wap? Kwa level yake akiamua kusoma si miez kadhaa Tu anaipata? Punguzeni unaa
Jamaa ni Msimbiti..
Asingeondoka Utoh, Assad asingekuwepo !Kichere kawa CAG?
Kwani Assad amestaafu?
Oooh, kumbe amenyimwa extension ya miaka mingine 5.
Serikali imecheza na loophole ya sheria.
Prof Musa Assad amejiuzulu au amelazimishwa na kitengo kujiuzulu, au amestaafu?
Wewe unayejitambua unafanya nini sasa katika nchi ya wajinga na wasiojitambua? Hama nchi tuone userious wako!Sisi kama nchi ni wajinga sana kuliko maelezo ninarudia tena WATANZANIA NI WAJINGA SANA SANA NA HAWAJITAMBUI.
Kabla upigaji ulikoma !?, nani kaukomesha ili huyu aje kuuanzisha ?Mwanzo mpya wa upigaji serikalini.
Former internal Auditor, Unilever, also works in Kenya ! Tuulize sie tunao ijua.Kama haya yana ukweli basi taasisi ya Mkaguzi Mkuu inaelekea kupoteza sifa maana sidhani kama anatosha.
Yupi alikosa heshima ?!Assad kastaafu kwa heshima
Unajiita Babel Kwan Nina mda wa kupoteza n.a. wewKwa hiyo wewe ulitakaje..embu tupe mawazo yako tukujue unayowaza..ndio baadae utupe tofauti kati ya msiba wako na matanga
...mawazo yako ! Diwani alikuwa Polisi miaka yote mpaka pale iliposemwa kuwa alikuwa na kazi mbili.Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum-shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una-enjoy ukuu, ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyohojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
....ni wakati gani ulififia !?Hakuna atakaesalimika endepo tu atakua kinyume na meko. Upigaji ndio unapamba moto sasa.