CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Naona yule jamaa wa kule Dodoma atakuwa anafurahia sana hii habari.
 
Sisi kama nchi ni wajinga sana kuliko maelezo ninarudia tena WATANZANIA NI WAJINGA SANA SANA NA HAWAJITAMBUI.
Wewe unayejitambua unafanya nini sasa katika nchi ya wajinga na wasiojitambua? Hama nchi tuone userious wako!
 
Ua kila mbwa anayebweka, unaiba kwa raha mustareheee
 
Kama haya yana ukweli basi taasisi ya Mkaguzi Mkuu inaelekea kupoteza sifa maana sidhani kama anatosha.
Former internal Auditor, Unilever, also works in Kenya ! Tuulize sie tunao ijua.
 
" Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi" Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya

Hii imekaaje?? au ni kwamba huyu bwana alikuwa hajui kuwa muda wake wa yeye kuhudumia kama CAG umeisha.
 
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum-shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una-enjoy ukuu, ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyohojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
...mawazo yako ! Diwani alikuwa Polisi miaka yote mpaka pale iliposemwa kuwa alikuwa na kazi mbili.
 
Natafuta comment moja ya jamaa wakati anateuliwa kuwa RAS Njombe alicoment kwamba Kicheere ni yupo vizuri sana kwenye leadership, amaeangushwa na "watu wake wa chini", kuna watu wanawajua watu.
 
Back
Top Bottom