CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Ila ajabu huyu mteuliwa upya nae ana miaka 59..
Hivi kumbe mwaka1970 Hadi mwaka 2019 ni miaka 59? Inabidi nirudi la kwanza, nikafundishwe upya hesabu za kutoa.
 
Naona somo la hisabati kwako lilikuwa noma!
2019 - 1970 = 49 Hesabu ya kutoa na kukopa tu ndugu yangu imekushinda na kuambulia zero. Ingalikuwaje kama ingalikuwa ya differentiation tuliyokuwa tunafundishwa darasa la kumi?
Siku soma hesabu mkuu na pia nilikosea badala ya kuweka 1970 niliweka 1960 ndo maana likaja jibu hilo...vipi wewe unaejua differentiation upo wapi kimaisha?
 
Uhuru wa ofisi ya CAG umekoma kwa uteuzi huu.Kuanzia sasa CAG kufata matakwa ya maagizo ya juu.
 
Wewe zitto kabwe ebu tuliza wenge.
 
Hatimaye uchafu wote kufichwa
Tuna safari ndefu sana awamu hii.
Ikiwa Hakufaa TRA atafaa uCAG...!!!???
Tunanunua ndege huku Ruangwa wanafukua maji kama ndezi...
Ah acheni majungu... mi nimeunga mkono juhudi na maendeleo hayana vyama
 
Rais Magufuli kashusha hadhi ya sekta zote. Sasa tunaona mkuu wa majeshi akifanya kazi za jeshi la polisi na kukagua miradi ya maendeleo. Jaji mkuu hana mamlaka tena na DPP kupitia kivuli cha Magufuli ndiye Jaji mkuu. Spika sasa ni mtumishi wa ikulu. Kavuruga sana aisee na sasa CAG anaenda kufanyia kazi sms atakazotumiwa na Magufuli
 
Siku soma hesabu mkuu na pia nilikosea badala ya kuweka 1970 niliweka 1960 ndo maana likaja jibu hilo...vipi wewe unaejua differentiation upo wapi kimaisha?
Maisha wanafaidi wanasiasa. Tuliosoma differentiation tupo nowhere kimaisha. Maana tukizipiga hizo hesabu, kwenye biashara zileta jibu la kutia wasiwasi. Kwenye siasa nako zinatoa jibu la null and void! Ni shida tupu. Najua wewe lazima maisha yanakuendea vizuri kwani ulikaa mbali na hisabati. Hongera sana. Nami ningalijua ningalifanya hivyo.
 
Ni kweli mkuu nilivyokaaga mbali na hisabati nilijua nimepoteza muelekeo lakini Mungu aliniona watu wanalalamika maisha magumu lakini ninapanga mipango kama vile hakuna ugumu wowote ule mkuu..nilipofika si mbali ila si haba..nashukuru Mungu...
 
Only in Tanzania. Miezi michache tu alimtumbua toka TRA hadi kuwa RAS.
Alisema dhahiri kashindwa kazi TRA. Sasa ataweza kuwa CAG na elimu yake yenye mashaka?
Ndiyo hapo sasa ushangae. Mtu hata ukiangalia huo wasifu wake unatia mashaka. Na miezi kadhaa tumeambiwa ni kilaza kwa kuchemka kama Kamishna.
 
Nchi ya ajabu kweli wakati mwingine tunalaumu wataalamu wabovu wanamuangusha wakati ukweli ni kwamba Magu mwenyewe anawateua.

Huyu mbona anaonekana not certified ACCA accountant sidhani duniani kama utakuta chief auditor wa kampuni yenye thamani ya $10m tu anapewa hiyo nafasi bila ya icho cheti let alone an auditor general of the nation Magu is mocking proffesional qualification katika nafasi za kitaaluma yule mwengine nae BoT not even an economists.
 
Mkaguzi mkuu wa serikali ni mwanasheria...Ookay...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…