CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

niliwahi kuwaambia humu hii awamu tutaibiwa kuliko awamu zote Jamaa ni mwizi sana,amefanikiwa kuwatia watu wote hofu asipatikane wa kuhoji ili afanye yake
 
Huwa nasema humu kwamba:
The hallmarks of bad governance are:
1. Ambiguousness
2. Arbitrariness
3. Capriciousness
Can anyone prove me wrong so far?
Your last senetnce should have read, " Can anyone, so far, prove my wrongness?"
Shoctopus is correct and you are wrong; and if not, then you just offered an alternative statement for another, yet correct statement!
 
babylata,

Ni kweli kabisa uko sahihi, hata mimi ninaona hivyo: Angalia hapa
1. Ndege amenunua ni za kwake, akistaafu anazichukua anenda nazo Chato anazipaki nyumbani kwake
2. Reli anajenga ni ya kwake, akistaafu anaing'oa anaenda nayo chato. Pia
3. Barabara alizojenga,
4. Mradi wa umeme
5. Vituo vya afya zaidi ya 400 Tanzania nzima
6. Elimu bure
7. Bajet ya afya kutka Billion 30+ mpaka Billion 280+
.................................................................................
Na mengine mengi.

Hii Nchi tunahitaji watumishi wa Mungu, wamuwekee mikono kila Mtanzania. Maaskofu Mapadre, Wachungaji, Masheikh, Wazee wa Kanisa na watumishi wengine wote wa kiroho, ningekuwa na mamlaka ya kiroho, NINGEWAOMBA WAFANYE HIVYO. Wazunguke Tanzania nzima. Tuna shida kichwani si ndogo, ni kubwa sana!
 
najijisistiaga mwenyewe kuwa mambo yanaenda kwa zamu hata wao walikuani.
 
Mkuu kama kama Assad angekuwa na kosa la maadili kuna taratibu za kikatiba kumuondia
Katiba inataka afikishe miaka 60
Kafikisha?mbona mnajifanya hamjui kusoma?
 
Kwa mtu mwenye mapenzi mema ya matumizi bora ya fedha za serikali CAG kama Assad angemuongezea muda ili kupunguza mianya ya matumizi mabaya ya fedha maana Prof. Assad alijipambanua kuwa ni mtu safi
Tatizo lake alijifanya mhimili was NNE ambao haupo.Pia akipewa maagizo alikuwa anabishana badala ya kutekeleza kwa itii bila kuhoji
 
Tatizo lake alijifanya mhimili was NNE ambao haupo.Pia akipewa maagizo alikuwa anabishana badala ya kutekeleza kwa itii bila kuhoji
Msomi mtaalamu anapobishana na mwanasiasa ina kula kwake,chagua mawili utumikie taaluma ufe njaa au umtumikie mwanasiasa upon.
Ukiwa mcha,Mungu heri heshima kuliko fedheha.Meck Sadick aliona mbali alichagua heshima
 

Hivi amesajiliwa na body ya uhasibu???
 
(1) Kumbukeni kuwa Assad alikuwa ni kiongozi wa ofisi ya Ukaguzi na Udhibiti wa hesabu za serikali, siyo kwamba yeye ndiye alikuwa akikagua vitabu vya serikali; la hasha. Alikuwa na timu kubwa ya wakaguzi ambo wote ni watumishi wa serikali. Anapoondoka, ile timu ya wakaguzi inabaki pale pale. Na atakayekuja ataikuta timu hiyo ipo pale pale na mambo yataendelea kama kawaida.

(2) Assadi alikuwa akipotosha sana kwenye press conference zake tofauti kabisa na ilivyokuwa kwenye ripoti ambazo siyo yeye alikuwa akiziandaa, bali ile timu ya wakaguzi. Kwa mfano ukisoma muhutasari wa ripoti iliyotolewa mwaka huu, inaonyesha kuwa hakukuwa na dosari yoyote, imeandikwa kabisa kuwa 97% zilikuwa Clean na 3% zilikuwa na dosari za kiufundi lakini hakukuwa na hati mbaya. lakini press conference yake ikaonyesha kama vile kuna pesa za serikali zimetumika vibaya, jambo ambalo lilikuwa ni kosasan. Ni kama hata yeye alikuwa hajui kilichomo kwenye ripoti hio.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…