CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Acha uongo wewe...Assad amezaliwa Oktoba 6, 1961... sasa umri umefika ukingoni kivipi?
Ulikuwa unataka ateuliwa kwa mwaka mmoja! Kwa nini usumbufu huo. Mkataba ni miaka mitano kafikisha, na kamaliza mkataba. Kuongezewa siyo automatic. Na kama nilivyosema huko nyuma tayari kuwepo kwake kulikuwa kunaigonganisha mihili. Wewe uliona wapi bunge na serkali wanawekeana bifu. They have to work together.
 
nyabhingi,
wewe unaanza kupoteza busara katika post zako unapoanza kuwa too personal na kujenga blanket comments za NYINYI MSIOJUA KUSOMA VOUCHER; nadhani unaamini kuwa watu wote ni wajinga kama wewe. Kwani Assad ndiye CAG wa kwanza Tanzania? Thoma Kiama na Ludovick Utuoh (samahani huko nyuma niliandika Olomi) walifanya kazi katika kipindi kibaya zaidi kwa upande wa mehesabu ya serikali lakini hatukuwahi kuwasikia wao kuwa center ya mjadala. Kuna wakati Ofisi ya Ikulu ilitumia hela zote walizotengewa na bunge kwa safari za nje na kupew supplementary budget lakini hakukuwa na politics.

Assad alikosea wajibu wake; namtakia astaafu kwa amani. Kuna majukumu ambayo hayatakiwi kuwa politicized, mojawapo ni hilo jukumu la CAG. Ndiyo maana term yake iko specified kabisa kwenye katiba kwa maana ya kuwa hawezi kufukuzwa kwa sababu za kisiasa. yeye aliingiza siasa kwenye jukumu hilo, ndiyo maana watu kama nyinyi mnatumia blanket statements.

Mimi nilizisoma ripoti zake zote, na wala hazifanani kabisa na yake aliyokuwa akizungumza majukwaani. Kama wewe hukuzisoma bali uliamini hotuba zake za majukwaani, sema ili nikuonyeshe ripoti zilikuwa zinasemaje halafu ulinganishe na yale Assad aliyokuwa akiongea majukwaani.
 
Public Audit Act imepewa na imetoa umri tu na sio mengineyo
Kwa mujibu wa katiba CAG analazimika kustaafu na miaka 65
Assad kafikisha hiyo miaka?
Tatizo ni pale mnapogeuza hiari kuwa lazima. Sheria haijasema ukiteliwa kama CAG ni lazima uongezewa miaka kila inapokwisha mitano. Kama hivyo ndivyo kwa nini kusingewekwa ukomo wa umri na miaka ya kutumikia. Ila sheria ina taratibu za kumuondoa kazini, na ni lazima kwa makosa maalum.
 
Tatizo lako hukuelewa comment yangu
wewe unaanza kupteza busara katika post zako unapoanza kuwa too personal na kujenga blanket comments za NYINYI MSIOJUA KUSOMA VOUCHER; nadhani unaamini kuwa watu wote ni wajinga kama wewe. Kwani Assad ndiye CAG wa kwanza Tanzania? Thoma Kiama na Ludovick Utuoh (samahani huko nyuma niliandika Olomi) walifanya kazi katika kipindi kibaya zaidi kwa upande wa mehesabu ya serikali lakini hatukuwahi kuwasikia wao kuwa center ya mjadala. Kuna wakati Ofisi ya Ikulu ilitumia hela zote walizotengewa na bunge kwa safari za nje na kupew supplementary budget lakini hakukuwa na politics.

Assad alikosea wajibu wake; namtakia astaafu kwa amani. Kuna majukumu ambayo hayatakiwi kuwa politicized, mojawapo ni hilo jukumu la CAG. Ndiyo maana term yake iko specified kabisa kwenye katiba kwa maana ya kuwa hawezi kufukuzwa kwa sababu za kisiasa. yeye aliingiza siasa kwenye jukumu hilo, ndiyo maana watu kama nyinyi mnatumia blanket statements.

Mimi nilizisoma ripoti zake zote, na wala hazifanani kabisa na yake aliyokuwa akizungumza majukwaani. Kama wewe hukuzisoma bali uliamini hotuba zake za majukwaani, sema ili nikuonyeshe ripoti zilikuwa zinasemaje halafu ulinganishe na yale Assad aliyokuwa akiongea majukwaani.
 
Katiba inasema CAG atastaafu akiwa na miaka 60/65
Assad kafikisha huo umri kwa mujibu wa sheria?
Tatizo ni pale mnapogeuza hiari kuwa lazima. Sheria haijasema ukiteliwa kama CAG ni lazima uongezewa miaka kila inapokwisha mitano. Kama hivyo ndivyo kwa nini kusingewekwa ukomo wa umri na miaka ya kutumikia. Ila sheria ina taratibu za kumuondoa kazini, na ni lazima kwa makosa maalum.
 
Tatizo lako hukuelewa comment yangu
Mzee, mimi ninajua sana kusoma na kuchambua mambo. Ndiyo maana nilizoma ile ripoti ya CAG yote pale ilipoanza kupigiwa kelele. Kuna mtu tuliwahi kujibizana hapa nikamwonyesha pages za muhimu katika ripoti hiyo, akanyamaza. Nimesoma post yako kwa makini sana na kuielewa vizuri kuwa wasiokubaliana na utendaji wa Assad (kama mimi) ni watu mbumbumbu, wapotoshaji na wasiojua hata kusoma payment vouchers. CAG siyo politician, hakutakiwa kuanza kutanganza malumbano na politicians tena kwa lugha ya kupotosha.

Hata hivyo sheria imefuatwa, kuwa na mkipindi cha miaka mitano ambacho amemaliza kikatiba. Kuongezewa au kutoongezewa siyo lazima kabisa, na wala tuspige kelele kwa nini hakuongezewa.
 
Mzee, mimi ninajua sana kusoma na kuchambua mambo. Ndiyo maana...

Ridiculous self-congratory claim...

Acha sisi ndio tuseme unajua kuchambua mambo...

Unajua kuchambua mambo gani wakati unasema uongo kwamba Assad hupanda kwenye majukwaa ya siasa

Jukwaa gani Assad alipanda akaongea siasa?

Lini?

Aliongea nini?

Wapi ???
 
Ridiculous self-congratory claim...

Acha sisi ndio tuseme unajua kuchambua mambo.

Unajua kuchambua mambo gani wakati unasema uongo kwamba Assad hupanda kwenye majukwaa ya siasa

Jukwaa gani Assad alipanda akaongea siasa, lini, wapi?
Huwezi kusema kuwa mimi ninajua kusoma na kuchambua kama wewe mwenyewe hujui kusoma na kuchambua kama ulivyoandika kwenye mstari wako wa tatu na wa nne.

Nimemaliza kusoma post ya mtu mwingine kuwa Assad kunyimwa extension ni good riddance! I agree.
 
Hivi CAG hapaswi kuwa mhitimu wa Professional Accounting Courses kama CPA au ACCA?
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20191104_025212_com.instagram.android.jpeg
 
Mimi nilizisoma ripoti zake zote, na wala hazifanani kabisa na yake aliyokuwa akizungumza majukwaani. Kama wewe hukuzisoma bali uliamini hotuba zake za majukwaani, sema ili nikuonyeshe ripoti zilikuwa zinasemaje halafu ulinganishe na yale Assad aliyokuwa akiongea majukwaani.
Assad alipanda majukwaani akahubiri siasa lini, mkutano wa nani, wapi, na alisema nini ??????
 
Huwa nasema humu kwamba:
The hallmarks of bad governance are:
1. Ambiguousness
2. Arbitrariness
3. Capriciousness
Can anyone prove me wrong so far?
 
Kama hii ndio CV yake kweli, basi sioni kama anao uwezo wa kuwa CAG. Mungu tubariki!
 
Huwa nasema humu kwamba:
The hallmarks of bad governance are:
1. Ambiguousness
2. Arbitrariness
3. Capriciousness
Can anyone prove me wrong so far?
Your last sentence should have read, " Can anyone, so far, prove my wrongness?"
 
Back
Top Bottom