minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
CAG wa sasa ni CAG kivuliLakini wizara ya fedha ndo itafanya AUDITING mkatae mkubali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAG wa sasa ni CAG kivuliLakini wizara ya fedha ndo itafanya AUDITING mkatae mkubali...
Nisaidie kuiweka hapa
Hata katiba ya kiswahili na english vimepishana
Hii nchi shida sana
Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu hawatumii katiba ya Nchi bali sasa wanatumia Sheria zao binafsi toka kolomije na chatoNchi imekuwa ya KISULTANI!!!
Huko kapelekwa baada ya watanzania kupiga kelele juu ya ufisadi 10% za wajanja wachache kwenye ununuzi wa Ndege , anachokwenda kufanya ni ukaguzi feki wa gelesha wa kuwasafisha watuhumiwa woteCAG huyu atakuwa anasoma magazeti tu ofisini hana jipya kil sehemu aliyokuwepo alikuwa anatumbuliwa
Kuwa eligible for renewal siyo guarantee kuwa ni lazima upate hiyo renewal.
Lowasa Nchi ingekuwa mbali kimaendeleo kwani siyo mtu wa visasi kukomoana kuwabambikia watu kesiKama tulitaka kumpa lowasa nchi kichere kuwa cag shida nini?
Kazi ipi? Wakati kazi yake ni kwenda kuwasafisha wale waliokula trillion 1:5 kuwalinda wanunuzi wa mdege waliokula 10% na kulinda 10% na ufisadi wote kwenye miradi yote mikubwaSidhani Kama ni vema kuhukumu kabla mtu hajaingia ofisini,pili hajawahi kuwa CAG, kwa hiyo acheni majungu kwanza na ramli chonganishi jamaa apige kazi.
Wa maana kwako ni cyprian Musiba? au le mutuz na Bashite?Kweli wewe bongolala hapo ulipotaja sijaona wa maana
labdaumma wa magufuli na kikundi chake cha tanroads ujenzi na ndugai umma wa watanznia wanajuwa assad alifanya kazi ya nchi iliyotukuka kwa yaanika majizi kama dotto james mwipwa wa magufuli na ofisi ya magufuli kwa kuiba trilioni 2.4 bila maelezo yeyote watanzania tunakumbukumbu weweAssad alifanya makosa makubwa sana ya kiutendaji kwa kuwa kichocheo cha mvutano baina ya ofisi yake na Bunge hata kama alikuwa sahihi. Yeye kama mtaalamu wa hesabu za fedha hakutakiwa kufanya mambo kama mwanasiasa, matokeo yake ali-politicize ukaguzi wa hesabu za umma jambo ambalo ni kosa kubwa sana. Ikafanya matokeo ya ukaguzi yasiwe ya kuaminiwa na sehemu fulani ya umma kwa kuhisia kuwa kuna political motives za wakaguzi. Nadhani Olotu aliifanya kazi hiyo kwa ufanishi sana enzi zake, kwani hesabu za serikali hazikuwahi kutafsiriwa kisiasa mpaka wakati wa huyu Assad; nasikia ana ukaribu sana na Zitto, ndiyo maana Zitto alikuwa akipata namba za ukaguzi hata kabla hazijatangazwa. Maprofesa wengi sana wa Tanzania siku hizi ni wababaishaji sana.
CAG wa sasa ni wa kulinda udisadi wao hawataki siri kama ya ile trillion 1:5 ivuje tenaUnateua mtu wa kukukagua![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Rais Magufuli yupo kwa manufaa yake tu na kikundi chake kujitajirisha kuliko kawaida sasa wamewekana watu wa tanroads waziibe fedha za uchaguzi 2020 maana jamaa hana mvuto hajuwi siasa na ameshindwa siasa. Mwenyekiti ambaye anahaha hata uchaguzi wa serikali za mtaa ameoganise crime ya kunyang,anya uhuru wa watu kuwachaguwa watu wanaowataka wawaongoze yaani kila kitu valuvalu kuiba kuiba ufisafi ufisadi Rais Magufuli zero kabisa.Kuwa eligible for renewal siyo gurantee kuwa ni lazima upate hiyo renewal.
Mzee, hiyo ndiyo sehemu ya umma, labda kama wewe huwaoni hao kama Watanzania. Ukishasema hivyo tu, basi umeshawagawa Watanzania, na ndiyo sehemu ya makosa niliyosema. Sehemu moja inaona hivi na sehemu nyingine inaona hivi. Yeye angeweka ripoti zake, abaki neutral ili awaachie wanasiasa na wataalamu wengine wa uchumi ndio wajadaliliane badala ya yeye mwenyewe kuwa sehemu ya mjadala.labdaumma wa magufuli na kikundi chake cha tanroads ujenzi na ndugai umma wa watanznia wanajuwa assad alifanya kazi ya nchi iliyotukuka kwa yaanika majizi kama dotto james mwipwa wa magufuli na ofisi ya magufuli kwa kuiba trilioni 2.4 bila maelezo yeyote watanzania tunakumbukumbu wewe
Acha ujinga wewe kazi ya upinzani ni nini? Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kuanzia jambo dogo matukio kubwa yote mabaya, huweza kuwapangia cha kukosoa kisa ni matukio, matukio yote yenye uzembe lazima yakemewe kwa nguvu usiwapangie upinzani cha kukosoaKumuita rais jiwe ni tayari unaonyesha sumu na visasi ulivyonavyo juu yake.
Siasa za hoja mmeshindwa na sasa ni kuvizia matukio kila siku.
Shame on all of you
Uteuzi wa CAG uko ndani ya powere za president kikatiba. Tunaweza kuongea tu iwapo kavunja katiba lakini sijaona mahalai ambapo katiba imevunjwa. Marekani republican wana msemao kuwa Elections have Consequences; ndiyo hivyo haya ni matokea ya uchaguzi wa Tanzania mwaka 2015magufuli yupo kwa manufaa yake tu na kikundi chake kujitajirisha kuliko kawaida sasa wamewekana watu wa tanroads waziibe fedha za uchaguzi 2020 maana jamaa hana mvuto hajuwi siasa na ameshindwa siasa mwenyekiti ambaye anahala hata uchaguzi wa serikali za mtaa ameoganise crme ya kunyang,anya uhuru wa watu kuwachaguwa waty wanaowataka wawaongoze yaani kila kitu baluvalu kuiba kuiba ufisafi ufisadi magufuli zero kabisa
Mkuu hii ni katiba au sgeria ya public audit act?
Hoja CAG mpya kateuliwa kulinda ufisadi wote kwenye miradi mikubwa hakuna zaidi ya hiyoKuna watu wanamwaga povu balaa teteeni hoja sio kumwaga povu.
Yeye alichotoa kwa waandishi ni muhtasari wa kilichomo kwenye ripotiMzee, hiyo ndiyo sehemu ya umma, labda kama wewe huwaoni hao kama watanzania. Ukishasema hivyo tu, basi umeshawagawa watanzania, na ndiyo sehemu ya makosa niliyosema. Sehemu moja inaona hivi na sehemu nyingine inaona hivi. Yeye angeweka ripoti zake, abaki neutral ili awaachie wanasiasa na wataalamu wengine wa uchumi ndio wajadaliliane badala ya yeye mwenyewe kuwa sehemu ya mjadala.