CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Sasa ndege utasikia zimevutwa nyingine 40 kwa hela iliyotoka hewani. Kudadeki na barabara zote zitajengwa kwa kampuni za mjomba. Huyu jamaa ni noma. Assad ndo mtu pekee aliyekua amebaki serikalini anayejielewa hatishiki.
 
Tatizo alikoropokea, asije akijiona sasa anaweza tumika na mabeberu, atahama nchi. Na ndiyo maana ya kiapo

Kwani lazima aishi hapa Tanzania? Umesikia neno beberu na ww umelibeba kichwa kichwa, saa hii unalitumia kama zuzu. Kuna siri ipi anatakiwa aifiche wakati nchi hii inaongozwa na mtu msafi?
 
Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
Charles Kichere ana elimu nzuri na siyo ya kuunga unga. Nafikiri hiyo Shahada ya Sheria aliyopata miaka kadhaa baada ya kuhitimu mafunzo ya uhasibu ndiyo inayowakanganya watu wafikirie kuwa elimu yake ni ya kuunga unga.

Hayo ya elimu siyo yaliyompa u-CAG.
Kilichompa Cheo cha CAG ni ukweli kwamba, Charles Kichere ni "mtoto wa baba".

Yeye ni mmoja wa 'watoto wapendwa, wakiongozwa na 'kaka mkubwa' mwenye 'daraja la juu' la barabara iendayo Kisarawe, kisha yupo wa bandari salama, uwanja mpya wa ndege, na mkuu wa mkoa wa Bandari Salama.

Hao ni 'watoto wapendwa'
Swali la msingi hapa ni kuwa, huyu CAG mpya ataweza kutoa taarifa isiyomfurahisha 'Baba'? Mathalani, kuhusu utendaji wa Shirika letu la Dreamliner?
 
Kutokana na CV ya bwana Kichere inavyoonekana hapo juu inaonyesha CAG wetu mpya hana CPA (T) au sifa nyingine inayolinga na hiyo hivyo kulingana na sheria za NBAA bodi ya wahasibu nchini hana sifa za kuwa CAG,itabidi bodi ya wahasibu itoe ufafanuzi zaidi.
Ushapigwa za uso. Tafuta jingine.
 
Kuna mdau amesema jamaa anayo lkn so far kwny CV yake sijaiona na ni mara chache sana Auditor/Accountant kusahau kuweka kwny CV yake suala la CPA mkuu.

Au sijui CV yake last time imekua updated lini.
IMG-20191103-WA0051.jpg
IMG-20191103-WA0051.jpg
 

Hpa Mh Rais alikuwa akiyataja mapungufu ya alie mteua leo wakati akimtumbua Mh Kichere.
 
Nina mashaka na uwezo wa kicheere upstairs, nimesoma naye, I know him better
Huu unaweza kuwa uteuzi wa kuidhalilisha taasisi ya CAG
Vipi mkuu alipata hizo one kweli au alikuwa mzee wa chabo kama aliemteua.
 
Kweli nimeamini sasa Magufuli ni Fisadi. Utawala huu ukiwa mtu makini unapigwa bench ila mazezeta wanapewa vyeo.

Una mama gani na nini vigezo vyako. Mana Mimi navyomjua JPM ni as simple as they come. Au wewe ndo wale wasomao habari za udaku. Watawatambua kwa Matunda yao. Huna lolote la kumtuhumu Siasa Zako tu za kijinga.
 
Back
Top Bottom