CAG, Prof. Mussa Assad, Atoa Dawa ya Kutibu Ugonjwa Hatari wa Deni la Taifa, ni Nidhamu ya Matumizi kwa Kubudget Kutumia Kile tuu Tutachokipata

Mkuu Bashir Yakub , kwanza asante kwa hii. Vipi uliwahi kumsikia Prof. Asad hapa?.
Msikilize kwa makini sana, na maneno haya tena aliyasema akiwa CAG

P.
 
Kuna vitu hapa CAG wa wakati huo Prof. Mussa Assad alivisema, Bunge ndilo lilitakiwa kusimamia, but they did nothing!.

Sasa leo msikilize huyu Mheshimiwa

View attachment 2060338
Haya sasa...
Halafu watu wakiitwa mazuzu!, wanakasirika!.
P
 
Mayalla naomba kukuuliza swali nje ya mada.

Je channel yako umeilipia?
 
Mayalla naomba kukuuliza swali nje ya mada.

Je channel yako umeilipia?
No Channels za youtube zinazopaswa kulipiwa ni zile public youtube channels zilizo monetized na zimekuwa branded kama TV. Mimi ni private channel, sio monetized, sio TV, hakuna kukumbia like wala subscribe, hivyo siingii kwenye anga za TCRA.
P
 
CAG Prof. Mussa Assad ambaye kitaaluma ni mchumi, hapa anatoa dawa ya kutibu ugonjwa huo wa kutegemea budget tegemezi.
Msikilize.
Paskali.
Hiki alichokisema Prof. Asad ndicho kile kile alichokisema Spika Ndugai!.
P
 
Hiki alichokisema Prof. Asad ndicho kile kile alichokisema Spika Ndugai!.
P
Mkuu kwenye nidhamu ya matumizi ni bora Spika anyamaze, si aliwahi kuhamishia ofisi India, au ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu ?

 
Hiki alichokisema Prof. Asad ndicho kile kile alichokisema Spika Ndugai!.
P
Kwa kipato kipi sasa,?
Mapato kwa mwezi ni Trilion 1.2
Mishahara ya wafanyakazi bilioni 700.
Ruzuku elimu dawa, mafuta bilioni 400
Spare, kulipa madeni, etc bilioni 300.
Hizi ni estimate zangu, kiufupi hela haitoshi,
Two option
1-Kukopa
2-kutoza kodi, tozo, kwa bidii, yaani watu mtozwe kodi za kutosha ili kujenga infrastructures za matrilion
 
Nimekutana na hii good news ya uteuzi wa Prof. Mussa Juma Assad. Nina imani na hii Tume kwasababu baadhi ya wajumbe wake nawafahamu kwa karibu ni watu niliofanya nao kazi, naelewa uwezo wao, uimara wao na uadilifu wao, watu wa type hii, ndio wanamsaidia Samia kwa kumwambia ukweli na sio wasaidizi wake uchumi wakiongozwa na msaidizi mkuu wa uchumi, the chancellor of exchequer ambaye ni chawa, atamsaidia nini Samia na kuisaidia nchi!
Juzi kati niliandika humu na magazetini Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? hiki kikosi kazi kitamsaidia ila Mama nae akubali kuambiwa ukweli na afuate ushauri.

Kile kikosi kazi cha siasa jilijazwa machawa na badala ya kumsaidia ndio kwanza kimeyarudia Madudu yale yale!.
Nina imani sana na Prof. Assad, nimeisha zungunza nae sana na haya ni baadhi ya kauli zake
Huyu ataisaidia sana hii Tume na atamsaidia sana Samia kwa kumweleza ukweli.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…