Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Bashir Yakub , kwanza asante kwa hii. Vipi uliwahi kumsikia Prof. Asad hapa?.PROF. ASSAD HII HADITH YA MTUME (SAW) UNAIJUA ?.
Na Bashir Yakub.
Mtu mmoja alimuuliza Mtume swallah llahu 'alayhi wasallah
“Ipi ni jihad(harakati) bora?” Mtume Akasema:
“Maneno ya haki mbele ya Mtawala muovu”
Kwa maneno mengi ya Assad ni wazi kwake kwamba Magufuli alikuwa mtawala muovu.
Assad haya maneno unayoita ya haki unayobwabwaja kila sehem mda huu uliwah kuyatoa mbele ya mtawala muovu.
Wakati akiwa hai na we si ulikuwa hai, ulishindwa nini kuyatamka mbele yake ili ukawa katika wale waumini wa kweli aliowasema Mtume katika hii Hadith ambao husema kweli.
Unakula nyama ya mfu kwa confidence, unajitutumua leo hayupo halafu unajifanya muumini.
Ina maana ulimuogopa kuliko unavyoogopa haya maneno ya Mtume Mtukufu . Iko wapi imani yako.
Unasubiri kufanya harakati juu ya mwili wa mfu.
Umeingia katika wanafiki wakubwa, watu waoga, na kada ya wasomi wasiojiamini.
Kama hukumwambia yeye hakuna haja ya kutwambia sisi. Unatwambia tumwajibishe nani sasa, kaburi lake ama familia yake.
Umbweha ni tabia ovu sana.
Wanabodi,
Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa uchumi wetu wa taifa ni wastani wa asilimia 7% kwa mwaka, wakati ukuaji wa deni la taifa ni asilimia 20% kwa mwaka!. Rate hii ikiendelea, tutafikia kiwango ambacho deni litakuwa halihimiliki kwa kufikia kiwango cha mwisho cha uwezo wa kukopesheka, hivyo taifa letu kuwa halikopesheki.
Sababu kubwa ya kukua kwa deni la taifa ni kutokana na nchi yetu kupanga bajeti tegemezi ambayo ni bajeti kubwa kuliko makusanyo yetu, hivyo bajeti yetu ziku zote inategemea mikopo na misaada ya nchi wafadhili, inapotokea nchi wafadhili wamepunguza misaada, nchi yetu hujikuta inalazimika kukopa ili kutekeleza bajeti, both recurrent, na development.
CAG Prof. Mussa Assad ambaye kitaaluma ni mchumi, hapa anatoa dawa ya kutibu ugonjwa huo wa kutegemea budget tegemezi.
Msikilize.
Paskali.
Mayalla naomba kukuuliza swali nje ya mada.Wanabodi,

No Channels za youtube zinazopaswa kulipiwa ni zile public youtube channels zilizo monetized na zimekuwa branded kama TV. Mimi ni private channel, sio monetized, sio TV, hakuna kukumbia like wala subscribe, hivyo siingii kwenye anga za TCRA.Mayalla naomba kukuuliza swali nje ya mada.
Je channel yako umeilipia?
Prof ni mtu wa Dini kweli. Ukichanganya na utaalam wake ndo kabisaaa hakubakishi hata ungekua rais wa chumaMkuu Bashir Yakub , kwanza asante kwa hii. Vipi uliwahi kumsikia Prof. Asad hapa?.
Msikilize kwa makini sana, na maneno haya tena aliyasema akiwa CAG
P.
CAG Prof. Mussa Assad ambaye kitaaluma ni mchumi, hapa anatoa dawa ya kutibu ugonjwa huo wa kutegemea budget tegemezi.
Msikilize.
Paskali.
Mkuu kwenye nidhamu ya matumizi ni bora Spika anyamaze, si aliwahi kuhamishia ofisi India, au ndio mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu ?Hiki alichokisema Prof. Asad ndicho kile kile alichokisema Spika Ndugai!.
P
Kwa kipato kipi sasa,?Hiki alichokisema Prof. Asad ndicho kile kile alichokisema Spika Ndugai!.
P
Wanabodi,
Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa uchumi wetu wa taifa ni wastani wa asilimia 7% kwa mwaka, wakati ukuaji wa deni la taifa ni asilimia 20% kwa mwaka!. Rate hii ikiendelea, tutafikia kiwango ambacho deni litakuwa halihimiliki kwa kufikia kiwango cha mwisho cha uwezo wa kukopesheka, hivyo taifa letu kuwa halikopesheki.
Sababu kubwa ya kukua kwa deni la taifa ni kutokana na nchi yetu kupanga bajeti tegemezi ambayo ni bajeti kubwa kuliko makusanyo yetu, hivyo bajeti yetu ziku zote inategemea mikopo na misaada ya nchi wafadhili, inapotokea nchi wafadhili wamepunguza misaada, nchi yetu hujikuta inalazimika kukopa ili kutekeleza bajeti, both recurrent, na development.
CAG Prof. Mussa Assad ambaye kitaaluma ni mchumi, hapa anatoa dawa ya kutibu ugonjwa huo wa kutegemea budget tegemezi.
Msikilize.
Paskali.
Nina imani na hii Tume kwasababu baadhi ya wajumbe wake nawafahamu kwa karibu ni watu niliofanya nao kazi, naelewa uwezo wao, uimara wao na uadilifu wao, watu wa type hii, ndio wanamsaidia Samia kwa kumwambia ukweli na sio wasaidizi wake uchumi wakiongozwa na msaidizi mkuu wa uchumi, the chancellor of exchequer ambaye ni chawa, atamsaidia nini Samia na kuisaidia nchi!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904