Kama ilivyo kawaida unapopewa sticker ya gari ni sharti gari likaguliwe na baada ya kuridhika basi unapewa sticker baada ya kulipia lakini utaratibu huu haufuatwi isipokuwa unapokutana na askari kitu cha kwanza kuulizwa je una sticker?.
Kama huna unaambiwa lipia na ondoka zako bila ukaguzi wa gari na pengine unapigwa faini bila hata kujitetea.
Pili ni vema sticker hizi ziwe katika mfumo wa ulipaji wa control namba lakini jinsi zinavyotolewa nina wasiwasi kama kweli zipo kwenye mfumo wa control namba na hivyo CAG sasa unatakiwa kupitia ukaguzi wa hizi sticker kwa sababu haya ni maduhuli ya Serikali.