Nafikiri wewe ndio umejaza funza kichwani, sababu huna uwezo wa kumwelewesha mtu kwa staha pale unapoona amatoa hoja lakini kuna kitu cha kisheria hakifamu.Stendi za daladala huwa zinakengwa nje ya hifadhi ya barabara? Hivi huwa mnapata faida gani hasa pale mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?
Aisee!!!,leta sababu zilizoshiba.Huyu CAG atakuwa katumwa na MABEBERU[emoji44][emoji44]
Hili nalo kwanini halikusemwa mzee alipokuwa hai?.
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.
Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Jibu swali, acha kutafuta hurumaNafikiri wewe ndio umejaza funza kichwani, sababu huna uwezo wa kumwelewesha mtu kwa staha pale unapoona amatoa hoja lakini kuna kitu cha kisheria hakifamu.
Huruma mtandandaoni, kweli unashida.Jibu swali, acha kutafuta huruma
Tusipotezeane muda, nashauri stendi zote za daladala zijengwe nje ya hifadhi ya barabara ili akili ikukae sawa. Tuishie hapa.Huruma mtandandaoni, kweli unashida.