Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, yaani Sasa hivi Kuna magofu ya bilioni 11 kwenye maporiUkiona kiongozi anakuwa mkali mkali, ujue kuna uchafu anaficha.
Vichaa dalili zao nyingi, Kichaa hagombani na kichaa mwenzieHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja wa musoma ni wa kawaida tu,huko hazitui boengHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ni kuwa viwanja vya Musoma na Mtwara vimejengwa miji mikuu ya mikoa sehemu ambazo kuna watu na biashara nyingi wakati uwanja wa Chato umejengwa kijijini kwenye watu wachache ni biashara chache!
Mama katumia billion 11 kurekodi royal tour,sinibora magufuri aliyekeza kwenye hotel maana kuna watu watapata ajira,kuliko huyu Mama aliyewapelekea wazungu ajira,huyu Mama bure kabisaKabisa, yaani Sasa hivi Kuna magofu ya bilioni 11 kwenye mapori
🤣🤣🤣Chato ni legacy ya Mwendawazimu, faida hailetwi na KICHAA.
Tofauti iliyopo ni uwanja wa ndege wa Musoma na Mtwara ni viwanja ambavyo vilikuwepo na vimekuwa vikitoa huduma kwa muda flani hivyo kutokana na mahitaji ya wateja ya sasa ikaonekana kuna haja ya kuboresha / kujenga baada ya kufanya upembuzi yakinifu ambao unatoa mwongozo wa nini cha kufanya. Uwanja wa ndege wa Chato ni mpya kabisa ambapo ujenzi umefanyika huku wataalam wakiangalia hali ya wateja itakuaje, na concern za CAG ni hakukuwa na upembuzi yakinifu na kupelekea kutumia fedha zaidi ya bajeti kitu na pia fedha zilizotumika kujenga uwanja wa Chato zilichukuliwa kwenye miradi mingine ili baadae zirudishwe pindi ela iliyopangwa kujenga Chato itakapotoka, hata hivyo fedha zilikuwa hazirudishwi kwa wakati na zingine hazikurudishwa kabisa.Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
--
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema gharama za ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita zilizidi bajeti iliyotengwa kwa sababu ulifanyika bila upembuzi yakinifu.
CAG alisema kutofanyika kwa upembuzi yakinifu kunaongeza hatari kwa Serikali kuwekeza katika mradi usio na tija na uwezekano wa kuwapo gharama zisizodhibitiwa na ongezeko la muda katika utekelezaji wake.
“Mpatio yangu yalibaini Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) hawakufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanz aujenzi,” amesema Kichere.
CAG Kichere amesema Sh3.62 bilioni za mradi huo zilitolewa kwenye miradi mingine kwa matarajio kwamba zingerejeshwa baada ya Hazina kutoa fedha zake, jambo ambalo halikutekelezwa kwa wakati hivyo kusimamisha miradi mingine iiliyopangwa.