CCM wamekataa kukaguliwa na hivyo hakuna mahesabu yao , ngoja tuone PAC kama itapiga kelele ama ndio kupiga kimya .........Mi nasuburi ya CCM tuone ziara za kina kinana zilipitishwa na nani? au walikuwa wanajifadhili wenyewe?

Kwahiyo kwako wewe yenye shaka ni sawa haina shida?
Aisee. Nilikuwa sijui maana ya waandishi kanjanja. Hivi kweli qualified opinion ni kushindwa kupata taarifa na vitabu? No, hiyo inaitwa disclaimer of opinion.
Audit opinion ziko NNE
1. Unqualified - ya kuridhisha
2. Qualified - yenye Shaka
3. Adverse -
4. Disclaimer - Auditor hakupata taarifa na vitabu
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu nchini (CAG) amebaini mapungufu katika vitabu vya mahesabu ya CHADEMA na kuhitimisha kwa kuipa CHADEMA hati yenye mashaka ‘Qualified opinion' kutokana na mahesabu yake ya mwaka wa fedha unaoishia June 30, 2012 and June 30, 2013.
Katika macho ya ulimwengu wa mahesabu, hati yenye mashaka (Qualified Opinion) huwa inatolewa pale wakaguzi wanaposhindwa kupata vitabu vyote vya mahesabu na pia wanashindwa kupata maelezo yanayojitosheleza, vile vile vitabu ya mahesabu vilivyopo vinakuwa haviendani na misingi ya mahesabu inayokubalika kimataifa pamoja na kwamba, wakaguzi wanakuwa wamepata ushirikiano na taasisi au kampuni wanayoikagua vitabu vyake vya mahesabu.
1)Pamoja na mambo mengine, katika mwaka wa fedha uliomalizika June 30, 2012, CAG aligundua mahesabu ya chama hayakujumuisha akaunti zote 200 ambazo ziko chini ya jina la chama.
2) CHADEMA ilionyesha umiliki wa pesa (Noncurrent Assets) kiasi cha Shilingi milioni 650 lakini kikashindwa kuonyesha kitabu cha mali(mahesabu) zisizo hamishika (Fixet Assets).
3)Mahesabu ya mwaka unaoishia June 30, 2013 yalionyesha shilingi milioni 40 ambazo hazikuwa na vitabu vyenye mahesabu ya makusanyo yake.
4) CAG alihoji manunuzi ya magari 10 (Ford Ranger) yaliyofanywa bila kuhusisha Kamati ndogo ya chama inayohusika na utoaji wa zabuni za chama (Tender Committee).
5) CAG alihoji ununuzi wa generator yenye thamani ya shilingi milioni 27 bila kuhusisha mchakato wa zabuni.
6)CAG alihoji pia mahesabu yanayoonyesha deni la milioni 47 linalohusiana na vifaa vya ujenzi wakati hata havijawasili kutoka kwenye kampuni ya kichina.
Kwa habari zaidi,
Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013 ulioasisiwa na Prof. Kitila Mkumbo na pia Samson Mwigamba umekuwa vindicated!
Tujikumbushe tena contents za walaka katika thread hii,
Mchaga na pesa!!!!! kama wamelaaniwa
Aisee. Nilikuwa sijui maana ya waandishi kanjanja. Hivi kweli qualified opinion ni kushindwa kupata taarifa na vitabu? No, hiyo inaitwa disclaimer of opinion.
Audit opinion ziko NNE
1. Unqualified - ya kuridhisha
2. Qualified - yenye Shaka
3. Adverse -
4. Disclaimer - Auditor hakupata taarifa na vitabu
Nadhani CDM wamejitahidi!!!!kuweka report hii hadharani ni jambo jema sana! Wafanyie kazi mapungufu kama walivyosema! Imekaa poa
Tunataka Mahesabu ya Ccm
Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013 ulioasisiwa na Prof. Kitila Mkumbo na pia Samson Mwigamba umekuwa vindicated!
Tujikumbushe tena contents za walaka katika thread hii,