kuna hoja gani toeni huu uchafuwanajamvi kitendo zitto kabwe kusema mahesabu ya vyama vyote vya siasa havijakaguliwa na CAG kumbe alikuwa mkweli?
sasa mbona alishambuliwa na walio wengi kuwa ni muongo, mtaka sifa, na msiliti ndani ya chama chake?
alipo sema ndani ya chama chake kunamatumizi yanafanywa ndivyo sivyo mbona Alishambuliwa? taarifa ya CAG inasemaje kama sio Yale yale aliyoyazungumza zitto?. zitto anafaa kuitwa mkweli na mzalendo? tujenge hoja hapo.
ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi hujue yy ni mchafu zaidi zitto ni mnafiki mwenzako
ujumbe umefikaAndika vizuri. Tunapata kinyaa kusoma kiswahili kibovu.
ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi hujue yy ni mchafu zaidi zitto ni mnafiki mwenzako
ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi hujue yy ni mchafu zaidi zitto ni mnafiki mwenzako
Zitto ni mhuni tuWanajamvi kitendo Zitto Kabwe kusema mahesabu ya vyama vyote vya siasa havijakaguliwa na CAG kumbe alikuwa mkweli?
Sasa mbona alishambuliwa na walio wengi kuwa ni muongo, mtaka sifa, na msiliti ndani ya chama chake?
Aliposema ndani ya chama chake kuna matumizi yanafanywa ndivyo sivyo mbona Alishambuliwa? Taarifa ya CAG inasemaje kama sio Yale yale aliyoyazungumza Zitto? Zitto anafaa kuitwa mkweli na mzalendo?
Tujenge hoja hapo.
CCM ni chama cha mashetani wamelaaniwaakili za watu wengine zikoje... ni mambo ya mungu haya hatuwezi kulaumu sana.
Duh! mbonge la jibuuuuuu
CCM ni chama cha mashetani wamelaaniwa
tunamzungumzia zitto na sio ccm. na hakuna aseyejua ccm kama nimashetani. huenda naichukia ccm kuliko hata wewe Sema tu mi si mshabiki.[/QUOTE zitto ni kada wa ccm ndo wale wale tuu wahuni wenzako
mkuu hivi unafahamu kuwa ruzuku ndan kuna kodi yangu ?
labda wanapepo mchafu
Baada ya ujio wa Lowassa Chadema, madudu kama haya hayaendelea tena, sasa kitaendeshwa kama chama, hapo mwanzo uendeshaji ulikuwa kama saccos fulani!.Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu nchini (CAG) amebaini mapungufu katika vitabu vya mahesabu ya CHADEMA na kuhitimisha kwa kuipa CHADEMA hati yenye mashaka Qualified opinion kutokana na mahesabu yake ya mwaka wa fedha unaoishia Ju June 30, 2013.
1)Pamoja na mambo mengine, katika mwaka wa fedha uliomalizika June 30, 2012, CHADEMA ina akaunti zaidi ya 200, ikijumlisha akaunti za Makao Makuu, Kanda, Mikoa, Wilaya na Majimbo lakini Mkaguzi hakuona salio la kufungia kitabu likihusisha akaunti zote zinazotumia jina la CHADEMA.
2)Mkaguzi anasema katika ripoti hiyo kuwa Chadema kilionyesha kina mali zenye thamani zaidi ya Sh650 milioni, ambazo ni magari, mashamba, nyumba na pikipiki. Hata hivyo, CAG anasema hakuona kitabu cha usajili wa mali hizo.
3)Mahesabu ya mwaka unaoishia June 30, 2013 yalionyesha shilingi milioni 40 ambazo hazikuwa na vitabu vyenye mahesabu ya makusanyo yake.
4) CAG alihoji manunuzi ya magari 10 (Ford Ranger) yaliyofanywa bila kuhusisha Kamati ndogo ya chama inayohusika na utoaji wa zabuni za chama (Tender Committee).
5) CAG alihoji ununuzi wa generator yenye thamani ya shilingi milioni 27 bila kuhusisha mchakato wa zabuni.
6)CAG alihoji pia mahesabu yanayoonyesha deni la milioni 47 linalohusiana na vifaa vya ujenzi wakati hata havijawasili kutoka kwenye kampuni ya kichina.