CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii
CCM wametuibia miaka zaidi ya 50.sasa ni zamu ya wananchi kujichangia.Mbona nyie mnajinunulia chai sh 10000 kikombe huku dawa hakuna mahospitali
 
Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii

Ungekuwa kweli Mzalendo ungeanza na viongozi wako wa serikali ya CCM, kawaambie wasiendelee kuifilisi nchi kwa kisingizio cha wawekezaji.

Pili waeleze Taifa limechoka na zile sinema za madawa ya kulevya.Halafu ukirudi utuambie wanacdm tusichangie chama chetu.

Kwanza tupo watanzania ambao hatutaki vyama vya siasa viendelee kupewa ruzuku hii ni pamoja na chama tawala.

Ruzuku iwe inaondoshwa taratibu vyama vianze kujitegemea
 
mkuu hivi unafahamu kuwa ruzuku ndan kuna kodi yangu ?
 
Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii

Afadhari chadema wanaochangisha hadharani.....maccm wanawalazimisha wafanya biashara kuchangia....
 
wenzako wanamajumba dubai wanaenda kupiga starehe na vimada we unauza matikiti maji unajifanya unauchungu na chama.
wajinga ndio waliwao

Wewe nilishakwambia,wewe stahiki yako ni Guest za Keko Mwanga, Wewe kupelekwa Dubai utapasikia kwenye Bomba
 
Kwani nyie MACCM mmetuibia kwa miaka mingapi?mmeona haitoshi mnakata na mishahara ya watumishi tena kwa lazima.
 
hela zinapigwa chezea chaga ww

Ingekuwa vyama ukatusaidia kuwauliza MAGAMBA yale mabasi ya wanafunzi tuliyochangia yalipelekwa wapi?

Waulize zile pesa za EPA na Richmond zimeishia wapi?

Kwa nini sinema za madawa ya kulevya zinaendelea au sababu zinawahusu watoto wao Magamba?

Kumbuka ukiwa kwenye nyumba ya vioo usithubutu kurusha mawe.
 
wenzako wanamajumba dubai wanaenda kupiga starehe na vimada we unauza matikiti maji unajifanya unauchungu na chama.
wajinga ndio waliwao

VIPI bunge la katiba kile kipengele cha kuzuia ufunguaji wa akaunti nje ya nchi kimo??
 
Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii

Hivi hati ya CCM ilikuwa safi? Mnaangaika sana kwabahati mbaya wananchi wameshawapuuza.kuna usanii zaidi ya kuchakachua Maoni ya wananchi? kwanini kuna mgao wa kimya kimya wakati kupitia serikali yenu mlitudanganya kuwa itakuwa historia.
 
Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii

Unasumbuka bure,cdm ipo mioyoni mwa watz.tumeshachanga toka jana usiku na tutaendelea kukichangia chama cha ukombozi hadi ukombozi wa kweli utakapopatikana! PEOPLEZZZZZZZZZZZZZ
 
Maccm Yanaweweseka sana,yanaona aibu kucopy na kupaste! CDM ni nouma
 
wenzako wanamajumba dubai wanaenda kupiga starehe na vimada we unauza matikiti maji unajifanya unauchungu na chama.
wajinga ndio waliwao

Ulivyo punguani unadhani mbowe ni size yako! Acha wivu wa kike tafuta pesa na wewe ujenge na si kushinda hapa jf kwa ujira wa buku 7! SISI TUNACHANGIA UKOMBOZI KWA SABABU TUNA UCHUNGU NA TAIFA LETU LINALOFISADIWA NA MACCM
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu nchini (CAG) amebaini mapungufu katika vitabu vya mahesabu ya CHADEMA na kuhitimisha kwa kuipa CHADEMA hati yenye mashaka ‘Qualified opinion’ kutokana na mahesabu yake ya mwaka wa fedha unaoishia June 30, 2012 and June 30, 2013.

Katika macho ya ulimwengu wa mahesabu, hati yenye mashaka (Qualified Opinion) huwa inatolewa pale wakaguzi wanaposhindwa kupata vitabu vyote vya mahesabu na pia wanashindwa kupata maelezo yanayojitosheleza, vile vile vitabu ya mahesabu vilivyopo vinakuwa haviendani na misingi ya mahesabu inayokubalika kimataifa pamoja na kwamba, wakaguzi wanakuwa wamepata ushirikiano na taasisi au kampuni wanayoikagua vitabu vyake vya mahesabu.

1)Pamoja na mambo mengine, katika mwaka wa fedha uliomalizika June 30, 2012, CHADEMA ina akaunti zaidi ya 200, ikijumlisha akaunti za Makao Makuu, Kanda, Mikoa, Wilaya na Majimbo lakini Mkaguzi hakuona salio la kufungia kitabu likihusisha akaunti zote zinazotumia jina la CHADEMA.

2)Mkaguzi anasema katika ripoti hiyo kuwa Chadema kilionyesha kina mali zenye thamani zaidi ya Sh650 milioni, ambazo ni magari, mashamba, nyumba na pikipiki. Hata hivyo, CAG anasema hakuona kitabu cha usajili wa mali hizo.

3)Mahesabu ya mwaka unaoishia June 30, 2013 yalionyesha shilingi milioni 40 ambazo hazikuwa na vitabu vyenye mahesabu ya makusanyo yake.

4) CAG alihoji manunuzi ya magari 10 (Ford Ranger) yaliyofanywa bila kuhusisha Kamati ndogo ya chama inayohusika na utoaji wa zabuni za chama (Tender Committee).

5) CAG alihoji ununuzi wa generator yenye thamani ya shilingi milioni 27 bila kuhusisha mchakato wa zabuni.

6)CAG alihoji pia mahesabu yanayoonyesha deni la milioni 47 linalohusiana na vifaa vya ujenzi wakati hata havijawasili kutoka kwenye kampuni ya kichina.

Kwa habari zaidi,

Uuuwi! Mbowe anawazidi kete chama chenye watu wanaojiita makini! na jana kazindua harambee ya saccos ya familia! changeni jamani.
 
Wanajamvi kitendo Zitto Kabwe kusema mahesabu ya vyama vyote vya siasa havijakaguliwa na CAG kumbe alikuwa mkweli?

Sasa mbona alishambuliwa na walio wengi kuwa ni muongo, mtaka sifa, na msiliti ndani ya chama chake?

Aliposema ndani ya chama chake kuna matumizi yanafanywa ndivyo sivyo mbona Alishambuliwa? Taarifa ya CAG inasemaje kama sio Yale yale aliyoyazungumza Zitto? Zitto anafaa kuitwa mkweli na mzalendo?

Tujenge hoja hapo.
 
Back
Top Bottom