Niliamini Kuna kitu tofauti nilipoona CDM wanajinadi kwa wandishi WA habari.
Leo uchafu wa CDM unatetewa kwa kulinganisha na uchafu WA CCM. Eti..." Ni kweli shati langu Lina vumbi lakini lako Lina matope" hahahahaha eti mbona Kuna waliowahi kupewa hati chafu na hawakufanywa chochote, sisi CDM hatujaifikia hatua ya hati chafu...