CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

STOP BEING A PRETENDER OF KNOWING EACH AND EVERYTHING WHILE U KNOW NOTHING, CAN U COPY AND PASTE SOMETHING U DONT KNOW? By the way I cant Argue by a fake Engineer , too much books without Practical.

ha ha ha GOOD LUCK WITH THAT...:A S wink::A S wink:
 
Haya sasa si unaona nilijua tu something was fishy CDM waje walete mahesabu mbele ya umma bila ya kuulizwa? kumbe wanawahi ripoti ya CAG iliyobainisha utapeli; mtu mzalendo kama Zitto kule lazima awekewe mizengwe CDM wanataka blind flowers only.

Wewe unayaona ya CDM tu mbona CCM inasemekana wakati ukaguzi ukitakiwa kufanyika wamekimbia ofisi na Kinana kujipa safari na ni vema zikaonyeshwa na hesabu za CCM zikijumuisha na zile billion 200 mlizochota kupitia escrow.
 
Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii
 
...

.....chama la wananchi kuchangia ni kama kunywa maji....viva Chadema !!!
 
Kwani ccm wamepata hati safi ama.! Acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu!
 
Leo niwachangia 10,0000 nie mnaiba fedha za umma, chadema wanatumia raslimali watu walionao, acha ujinga..
 
kwani tukiibiwa inakuhusu nini? mi nimeshatuma elf 50 asubuhi
 
...

.....chama la wananchi kuchangia ni kama kunywa maji....viva Chadema !!!

wenzako wanamajumba dubai wanaenda kupiga starehe na vimada we unauza matikiti maji unajifanya unauchungu na chama.
wajinga ndio waliwao
 
Ndio kwanza tu tumeanza.....mimi nimechanga hela nzuri tu jana !. Na kila mwezi nitakuwa nachangia !.


Mimi km mzalendo nawausia kabla ya kuchanga wapate hati ya CAG ambayo kiufupi CAG AMETOA HATI YENYE MASHAKA KWA CHADEMA.
ndugu zangu mabingwa hawa wameshindwa kupata hati safi .

Ulizeni michango ya m4c ikowapi? leo wanacm tuwachangie tuwe macho na wasanii
 
assadsyria hakuna mtu aliyelazimishwa kuchangia CDM na wala mshahara wako hautakatwa.Waache wenye moyo wa kuwachangia wachange.

Hiyo ni sawa na pilipili iliyopo shamba, kwa ninu ikuwashe.
 
Hivi mmeshawahi kukaa na kutathmini athari (negative or positive) za hizi propaganda zenu za kipuuzi !.........Kama kweli mpaka sasa hivi mmeshindwa kuona kwamba hizi propaganda zenu za ki-pumba-vu zimeshindwa kabisa kuidhoofisha CDM basi, nadhani nili-under-estimate u-pumba-vu wenu !

Ninajua kwamba nyie maCCM ni wa-pumba-vu lakini sikujua ni kwa kiwango kikubwa namna hii !


wenzako wanamajumba dubai wanaenda kupiga starehe na vimada we unauza matikiti maji unajifanya unauchungu na chama.
wajinga ndio waliwao
 
Kwani ccm wamepata hati safi ama.! Acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu!

Kwani CCM wameomba mchango? Tatizo lipo kwa yule anayeomba mchango wakati michango iliyopita haijulikani imetumika vipi!
 
Back
Top Bottom