Calculations za VAT kupitia EFD machine

Calculations za VAT kupitia EFD machine

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
274
Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa lengo wakati nawauzia basi niwatolee hiyo electronic receipt.

Sasa naomba ushauri je kumiliki hicho kitu na kumsikiliza huyu boss ina tija kwangu kama mjasiriamali mdogo au anataka kunilalia?
Nimesikia kuna makato ya asilimia kadhaa (wengine wanasema 18%) je asilimia hizi anakatwa nani? mimi, yeye au tunagawana?
Au calculations zipoje? kiufupi naomba kutolewa tongotongo katika huu mfumo mzima wa uuzaji na manunuzi wa kielectronic receipt.

ahsante naomba kuwasilisha
 
Kuna mambo mawili hapo.

1. VAT haupewi tuu ni mpaka ufikishe turnover kiasi fulani. nafikiri ni Milion 80+ kwa mwaka (sina uhakika) ndio EFD yako itakuwa na VAT kama sio basi EFD itaandika VAT not registered
na kwa maana hiyo wewe ndio utakusanya VAT kwa niaba ya serikali.

so VAT zote zitakazo onekena kupitia EFD receipt ulizo toa utatakiwa kuilipa serikali

Mfano umeuza bidhaa zako 100,000/- na receipt ikaandika 18% VAT ikaweka 18,000/- basi iyo elfu 18 utadaiwa na serikali.

2. Wafanyabiashara wanapenda sana kununua vitu na kupewa EFD receipt. Hii inawasaidia katika kitu kinaitwa VAT return

yaani siku anadaiwa kodi basi atatoa difference ya VAT ambayo aliuza bidhaa na VAT ambayo alinunua bidhaa kisha kinachobakia ndio analipa kodi

Mfano.

Mfanya biashara alinunua bidhaa za Milioni 10 akalipia na VAT 18% ambayo ni milioni 1.8

baadae akaja akauza hizo bidhaa kwa milioni 20. na yeye wakati anauza alitoa receipt zenye VAT ambapo alikusanya VAT ya mil 3.6

So jamaa anatakiwa ailipe serikali VAT aliyokusanya. Sasa jamaa hata lipa hiyo Milion 3.6

Badala yake atalipa Milioni 3.6 - 1.8 = 1.8

atalipa 1.8M

Soo hiyo ndio sababu ya huyo ndugu kudai EFD
 
Ni milioni 100 kwa mwaka,Au ndani ya miezi 6 uwe na mauzo ya milioni hamsini.
 
Ingia google
Andika Vat ni nini?
Yatakuja majibu mengi.
Soma maelekezo ya tra.
Kama hujaelewa au unataka kuelewa zaidi.
Tafuta muda nenda TRA yoyote karibu yako watakupa maelekezo yote.
Aksante.
 
Ni namna gani analipishwa kodi huyu mjasiriamali kwa VAT alizokusanya mwaka mzima je ni 1.8 exactly kama ilivo?
 
Inaitegemea kwanza bidhaa unazouza zinachajiwa VAT kwa kiasi gani.

Kuna bidhaa zinachajiwa standard rate ambayo Ni 18%.

Kuna zero rated hizo zinachajiwa 0%.

Kuna exempted hizo hautalipia VAT.

Kwanza lazima ujue bidhaa zako utakazouza zitaangukia kundi lipi,maana Kuna bidhaa unaweza ukauza na zote zikawa ziko exempted na hapo hata uwe na mauzo ya billion hautakiwi kujiandikisha huko kwny VAT,so ungetaja kwanza nature ya bidhaa zenyewe.

VAT unalipia tarehe 20 ya kila mwezi,yaani mauzo ya mwezi huu wa January, VAT yake utalipia TRA tarehe ya 20 mwezi ujao

VAT Ni somo pana saaaana.
 
Ni biashara ya korosho zile unapack then nasupply katika supermarkets. Sample kama hizi

IMG-20201130-WA0048-e1606763599143.jpg
 
Inaitegemea kwanza bidhaa unazouza zinachajiwa VAT kwa kiasi gani.

Kuna bidhaa zinachajiwa standard rate ambayo Ni 18%.

Kuna zero rated hizo zinachajiwa 0%.

Kuna exempted hizo hautalipia VAT.

Kwanza lazima ujue bidhaa zako utakazouza zitaangukia kundi lipi,maana Kuna bidhaa unaweza ukauza na zote zikawa ziko exempted na hapo hata uwe na mauzo ya billion hautakiwi kujiandikisha huko kwny VAT,so ungetaja kwanza nature ya bidhaa zenyewe.

VAT unalipia tarehe 20 ya kila mwezi,yaani mauzo ya mwezi huu wa January, VAT yake utalipia TRA tarehe ya 20 mwezi ujao

VAT Ni somo pana saaaana.
Ni bidhaa zipi ambazo ni zero rated?
 
Kuna mambo mawili hapo.

1. VAT haupewi tuu ni mpaka ufikishe turnover kiasi fulani. nafikiri ni Milion 80+ kwa mwaka (sina uhakika) ndio EFD yako itakuwa na VAT kama sio basi EFD itaandika VAT not registered
na kwa maana hiyo wewe ndio utakusanya VAT kwa niaba ya serikali.

so VAT zote zitakazo onekena kupitia EFD receipt ulizo toa utatakiwa kuilipa serikali

Mfano umeuza bidhaa zako 100,000/- na receipt ikaandika 18% VAT ikaweka 18,000/- basi iyo elfu 18 utadaiwa na serikali.

2. Wafanyabiashara wanapenda sana kununua vitu na kupewa EFD receipt. Hii inawasaidia katika kitu kinaitwa VAT return

yaani siku anadaiwa kodi basi atatoa difference ya VAT ambayo aliuza bidhaa na VAT ambayo alinunua bidhaa kisha kinachobakia ndio analipa kodi

Mfano.

Mfanya biashara alinunua bidhaa za Milioni 10 akalipia na VAT 18% ambayo ni milioni 1.8

baadae akaja akauza hizo bidhaa kwa milioni 20. na yeye wakati anauza alitoa receipt zenye VAT ambapo alikusanya VAT ya mil 3.6

So jamaa anatakiwa ailipe serikali VAT aliyokusanya. Sasa jamaa hata lipa hiyo Milion 3.6

Badala yake atalipa Milioni 3.6 - 1.8 = 1.8

atalipa 1.8M

Soo hiyo ndio sababu ya huyo ndugu kudai EFD
Uko sawa! Kuongezea tu turnover threshold ya Vat registration ni milioni 100
 
Ingia google
Andika Vat ni nini?
Yatakuja majibu mengi.
Soma maelekezo ya tra.
Kama hujaelewa au unataka kuelewa zaidi.
Tafuta muda nenda TRA yoyote karibu yako watakupa maelekezo yote.
Aksante.
Umeongea kirahisi sana ila uhalisia haupo rahisi hivo
Vat ni somo pana sana na hata baadhi ya maafisa wa Tra kama haupo makini mwenyewe wanaweza kukuchochoresha ukapata penalties.
 
Ni bidhaa zipi ambazo ni zero rated?
Bifhaa za kilimo, vifaa tiba, madawa etc. Soma kwenye website ya TRA vyote vimeorodheshwa.

Ila VRN (VAT Registration Number) unayiitafuta lazima uwe na mauzo ya bidhaa zinazochajiwa VAT ya zaidi ya Millioni 100 kwa mwaka au Millioni 50 kwa miezi 6 au kundi maalum la makampuni yanayopewa VAT kwa sababu ya nature ya biashara lazima ifikishe huko mfano: Wakandarasi wa majengo na barabara n.k

Pia unaweza kuandika barua ukasema biashara yako itaingiza kiasi hiko ndani ya muda huo kwa makadirio ulioyafanya hivyo unaomba upewe hiyo VRN mwanzoni tu.
 
Asante sana kwa ufafanuzi. Ikiwa bado nafanya mauzo ambayo kwa mwaka hayazidi 20mil bidhaa za kilimo. Utaratibu ukoje sasa?

Kwenye risiti ya tra itakuwa si bei halisi ya bidhaa sababu ni zero vat.

Sasa tra wanapataje mapato hapo?
Au kuna utaratibu mwingine?
Asante
 
unakadiriwa kodi
 
Kwenye bidhaa za kilimo ambazo hazijaongezewa thamani hamna VAT lakini kama zimeongezewa thamani ndo zitakatwa VAT. Na kumbuka VAT inafall kwa final consumer, muuzaji yeye ni agent wa kukusanya tuu.
 
Back
Top Bottom