JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa lengo wakati nawauzia basi niwatolee hiyo electronic receipt.
Sasa naomba ushauri je kumiliki hicho kitu na kumsikiliza huyu boss ina tija kwangu kama mjasiriamali mdogo au anataka kunilalia?
Nimesikia kuna makato ya asilimia kadhaa (wengine wanasema 18%) je asilimia hizi anakatwa nani? mimi, yeye au tunagawana?
Au calculations zipoje? kiufupi naomba kutolewa tongotongo katika huu mfumo mzima wa uuzaji na manunuzi wa kielectronic receipt.
ahsante naomba kuwasilisha