Calculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa kidato cha nne

Calculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa kidato cha nne

Maulidi guga

Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
14
Reaction score
16
Naomba kujua culculator zinazoruhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu wa kidato cha nne
 
Nenda maduka Makubwa ya stationary watakupatia Calculator yako Mkuu

Sema kwa uo Mwandiko wako sijui Kama mtatoboa Necta shuleni kwenu.!
 
Back
Top Bottom