California, Marekani: Kuchomoa kondomu bila taarifa wakati wa tendo yatangazwa kuwa kosa kisheria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing".

Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa jimbo la kwanza la Marekani kuidhinisha utoaji wa mpira wa kondomu bila makubaliano kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria.

Sheria hiyo inawapatia fursa ya kuwasilisha mashitaka yao kama Doogan aliyenyenyaswa kingono ambaye kwa sasa anaishi katika, San Francisco, aliyenyanyaswa miongo kadhaa iliyopita.

Takriban miaka 30 iliyopita, mwezi mmoja tu baada ya kuanza kazi kama kahaba, Maxine Doogan alipata ujauzito.

Alikuwa na mteja mpya katika eneo la masaji, katika Anchorage, Alaska, wakati alipogundua kuwa alikuwa ametoa mpira wa kondomu ghafla bila kumfahamisha wakati wa kujamiiana.

Alipigwa na mshangao, akakimbilia bafuni. Wakati aliporejea alikuta mteja wake ameondoka.

Doogan, ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 20 na ushee, alikwenda katika kliniki iliyopo karibu kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya magonjwa ya zinaa na baadaye alishukuru kwa kupata vipimo vyote vina majibu chanya.

Hatahivyo alijipata na ujauzito wiki sita zilizofuatia ambao kuutoa ilimgarimu karibu dola 300. Anasema sheria mpya itamuwezesha kupata haki yake kisheria.
 
Sasa ushahidi gani utahitajika kuthibitisha ili kumtia hatiani mshatakiwa?
 
Duuhh hio kali.
Ukienda hospitali ukaambiwa majibu yako ni chanya unafurahi?
 
Watathibitishaje kwamba tulikubaliana ama hatukubaliana?
 
Sijaelewa Hilo tukio yaani alienda masaji halafu jamaa akamromba na kuchomoa kondom halafu kwenye vipimo ndo wamemwambia Ana mimba
 
Huyo Dada anafanyia watu masaji,mshkaji akaenda kufanyiwa masaji akanogewa wakafikia dau jamaa ale mzigo. Wakati wanakula mzigo jamaa kachomoa kondomu katikati ya game demu kushtuka jamaa kashamwaga demu akakimbilia bafuni kunawa huku nyuma jamaa kasepa zake. Baadae demu akaenda clinic kupima magonjwa ya zinaa bahati nzuri hakuwa nayo ila baada ya wiki sita akawa na mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing".

Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa jimbo la kwanza la Marekani kuidhinisha utoaji wa mpira wa kondomu bila makubaliano kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria.

Sheria hiyo inawapatia fursa ya kuwasilisha mashitaka yao kama Doogan aliyenyenyaswa kingono ambaye kwa sasa anaishi katika, San Francisco, aliyenyanyaswa miongo kadhaa iliyopita.

Takriban miaka 30 iliyopita, mwezi mmoja tu baada ya kuanza kazi kama kahaba, Maxine Doogan alipata ujauzito.

Alikuwa na mteja mpya katika eneo la masaji, katika Anchorage, Alaska, wakati alipogundua kuwa alikuwa ametoa mpira wa kondomu ghafla bila kumfahamisha wakati wa kujamiiana.

Alipigwa na mshangao, akakimbilia bafuni. Wakati aliporejea alikuta mteja wake ameondoka.

Doogan, ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 20 na ushee, alikwenda katika kliniki iliyopo karibu kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya magonjwa ya zinaa na baadaye alishukuru kwa kupata vipimo vyote vina majibu chanya.

Hatahivyo alijipata na ujauzito wiki sita zilizofuatia ambao kuutoa ilimgarimu karibu dola 300. Anasema sheria mpya itamuwezesha kupata haki yake kisheria.
Alipata majibu chanya,na bado akashukuru Mungu?
 
Hamna tofauti na tozo za parking,
Unapigwa picha ukiwa huna habari unakutana na mlundo wa madeni,
Hapo watapigwa watu hela sana
 
Ndom za KE haziko popular kabisa Mkuu. Kuvaa kabla ya mechi ni zoezi kali nadhani hata KE wengi wanaopenda kujikinga kwa mimba na magonjwa ya zinaa wanakerwa nazo.

Mbona kama mlengwa mkuu ni mwanaume pekeyake?wanawake nao si wana Condom?
 
Kuna mrembo tulikuwa tumepanga kwenda Zenj kula bata kwa wiki. Basi siku ya safari tulikuwa tumeshazoeana sana tu kwa outing za lunch, dinner, movies na clubs na denda kama pipa hivi 😂😂😂 lakini nilikuwa sijawahi kula kimasihara
😂😂. Basi siku ya safari nikajisemesha nimechukua zana nikitegemea atafurahia. Akauliza zana ndiyo nini nikamwambia ndom. Akadai mie sizipendi NIKASTUKA 😳😳 lakini baada ya muda akili ikakaa sawa huku nikijipa moyo kimya kimya kwamba atakuwa si muathirika. Basi ile paradise yetu ilikuwa bomba sana na kuongeza ukaribu wetu. Usiniulize huyo mrembo yuko wapi siku hizi? SIJIBU 😂😂😂😂
Bora kutovaa tangu awali kuliko kuivua katikati
 
Ndom za KE haziko popular kabisa Mkuu. Kuvaa kabla ya mechi ni zoezi kali nadhani hata KE wengi wanaopenda kujikinga kwa mimba na magonjwa ya zinaa wanakerwa nazo.
Aisee basi wanaume tuna kazi sana
 
CA ndio Marekani. Ni taifa la tatu kwa utajiri duniani baada ya Marekani na China.
Si ya tatu..Ni ya tano..
Bado ni uchumi mkubwa sana.. Lakini kwa kipindi cha karibuni imekua ikikimbiwa sana na wawekezaji,middle class..na sababu zaidi ni sera zake kiuchumi (kodi..nk)na pia suala la Homeless..
All in all bado Jimbo lenye nguvu sana

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Bora California, Uingereza hiki kitendo kisheria tafsiri yake ni kubaka.
 
Back
Top Bottom