Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing".
Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa jimbo la kwanza la Marekani kuidhinisha utoaji wa mpira wa kondomu bila makubaliano kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria.
Sheria hiyo inawapatia fursa ya kuwasilisha mashitaka yao kama Doogan aliyenyenyaswa kingono ambaye kwa sasa anaishi katika, San Francisco, aliyenyanyaswa miongo kadhaa iliyopita.
Takriban miaka 30 iliyopita, mwezi mmoja tu baada ya kuanza kazi kama kahaba, Maxine Doogan alipata ujauzito.
Alikuwa na mteja mpya katika eneo la masaji, katika Anchorage, Alaska, wakati alipogundua kuwa alikuwa ametoa mpira wa kondomu ghafla bila kumfahamisha wakati wa kujamiiana.
Alipigwa na mshangao, akakimbilia bafuni. Wakati aliporejea alikuta mteja wake ameondoka.
Doogan, ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka 20 na ushee, alikwenda katika kliniki iliyopo karibu kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya magonjwa ya zinaa na baadaye alishukuru kwa kupata vipimo vyote vina majibu chanya.
Hatahivyo alijipata na ujauzito wiki sita zilizofuatia ambao kuutoa ilimgarimu karibu dola 300. Anasema sheria mpya itamuwezesha kupata haki yake kisheria.