Carlifonia haijaanza kujengwa jana wala leo mkuu. Wakati Carlifonia tayari kuna magorofa huku tupo kwenye nyumba za udongo.▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD
▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD
▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion
▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million
▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs
#DataSpeaks
Hao watumwa (wananchi) walichukuliwa bure?Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.
Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Kasome historia mkuuHao watumwa (wananchi) walichukuliwa bure?
Watumwa wengi sana walichukuliwa bure, kwa nguvu, kwa kuibiwa.Hao watumwa (wananchi) walichukuliwa bure?
Historia gani? Hii ya biashara ya utumwa?Kasome historia mkuu
Mr Kiranga.Watumwa wengi sana walichukuliwa bure, kwa nguvu, kwa kuibiwa.
Kasome kitabu au kaangalie TV series ya "Roots", historia ya familia ya Alex Haiey kutoka kwaKunta Kinte, historia imeonesha watu walivyochukuliwa jwa nguvu Afrika.
Na hata walionunuliwa, hakuna pesa inayokuwa sawa na utu wa mtu.
Goliath vs David 😡▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD
▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD
▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion
▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million
▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs
#DataSpeaks
Sasa wazungu majangili kushirikiana na Waafrika majangili kunaondoaje ukweli kwamba uchumi wa Marekani umejengwa kwa ujangili na hivyo kuufananisha na uchumi ambao umeporwa watu wao katika huo ujangili (bila kujali kuwa Waafrika, hususan machifu walishiriki kwenye ujangili huo) ni hoja mufilisi?Mr Kiranga.
Wazungu walipokuja Afrika walikuta tawala. Kulikuwepo na mamlaka: falme, koo na kadhalika.
Hawa wazungu hawakuvamia tu; walionana na mamlaka husika.
Ukweli ni kwamba watu waliokwenda kutumikishwa kazi maeneo mbalimbali ya dunia kutoka Afrika, waliuzwa na viongozi wao: waliuzwa na watawala wao na ndugu zao.
Waafrika wenyewe walishirikiana na waarabu na wahindi kuwauza waafrika wenzao kwa wazungu.
Waarabu waliwatumia waafrika kupiga na wazungu na waafrika waliwadanganya waafrika wenzao.
Excuses,Excuses,Excuses,ExcusesUsilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.
Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Hapana. Hii ni simple fact.Excuses,Excuses,Excuses,Excuses
Kwani nini China ina uchumi mkubwa kuliko Japan na nchi nyingi za ulaya pamoja na Mongolia ?Hapana. Hii ni simple fact.
Wewe umeshindwa kujenga hoja kwa nini hii ni excuse na si fact.
Unachopinga ni kipi hapo sasa?
Africa haikuporwa watu wake katika biashara ya utumwa?
Jambo hili umelisoma kwa undani au unaliangalia kijuu juu tu?
Umemsoma Walter Rodney katika "How Europe Underdeveloped Africa"?
Umesoma kitabu gani cha wanazuoni kuhusu hii mada?
Au unakwenda kwa hisia zako tu?
This logical fallacy is called non sequitur.Kwani nini China ina uchumi mkubwa kuliko Japan na nchi nyingi za ulaya pamoja na Mongolia ?
Unaifahamu historia ya century humiliation ya China ?
Umenena mkuuUsilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.
Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
SahihiUsilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.
Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Haah excuses excusesThis logical fallacy is called non sequitur.
You are comparing apples to oranges.
China as a nation haijawahi kutumikishwa katika utumwa ulioichukua nguvukazi yake kwa makumi ya milioni kuwapeleka nje ya China wasirudi tena kwao bila ya wao kupenda.
China as a nation haijawahi kuwa koloni kama nchi za Afrika zilivyokuwa makoloni.
Mbona unakiuka kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu.
Unapolinganisha vitu, linganisha vinavyolinganishika.
Israel imefanyaje?Haah excuses excuses
Vipi kuhusu Israel ?