California, USA 🇺🇸 vs Africa (2023)

California, USA 🇺🇸 vs Africa (2023)

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD

▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD

▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion

▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million

▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs

#DataSpeaks
 
Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.

Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
 
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD

▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD

▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion

▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million

▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs

#DataSpeaks
Carlifonia haijaanza kujengwa jana wala leo mkuu. Wakati Carlifonia tayari kuna magorofa huku tupo kwenye nyumba za udongo.
 
Kasome historia mkuu
Historia gani? Hii ya biashara ya utumwa?
Unaelewa maana ya "biashara ya utumwa" ni nini?

Kama ilikuwa biashara ya utumwa, madai kwamba watumwa au wananchi kutoka Afrika walitumikishwa bure America yanaeleza nini?
 
Watumwa wengi sana walichukuliwa bure, kwa nguvu, kwa kuibiwa.

Kasome kitabu au kaangalie TV series ya "Roots", historia ya familia ya Alex Haiey kutoka kwaKunta Kinte, historia imeonesha watu walivyochukuliwa jwa nguvu Afrika.

Na hata walionunuliwa, hakuna pesa inayokuwa sawa na utu wa mtu.
Mr Kiranga.

Wazungu walipokuja Afrika walikuta tawala. Kulikuwepo na mamlaka: falme, koo na kadhalika.

Hawa wazungu hawakuvamia tu; walionana na mamlaka husika.

Ukweli ni kwamba watu waliokwenda kutumikishwa kazi maeneo mbalimbali ya dunia kutoka Afrika, waliuzwa na viongozi wao: waliuzwa na watawala wao na ndugu zao.

Waafrika wenyewe walishirikiana na waarabu na wahindi kuwauza waafrika wenzao kwa wazungu.

Waarabu waliwatumia waafrika kupiga na wazungu na waafrika waliwadanganya waafrika wenzao.
 
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD

▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD

▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion

▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million

▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs

#DataSpeaks
Goliath vs David 😡
 
Mr Kiranga.

Wazungu walipokuja Afrika walikuta tawala. Kulikuwepo na mamlaka: falme, koo na kadhalika.

Hawa wazungu hawakuvamia tu; walionana na mamlaka husika.

Ukweli ni kwamba watu waliokwenda kutumikishwa kazi maeneo mbalimbali ya dunia kutoka Afrika, waliuzwa na viongozi wao: waliuzwa na watawala wao na ndugu zao.

Waafrika wenyewe walishirikiana na waarabu na wahindi kuwauza waafrika wenzao kwa wazungu.

Waarabu waliwatumia waafrika kupiga na wazungu na waafrika waliwadanganya waafrika wenzao.
Sasa wazungu majangili kushirikiana na Waafrika majangili kunaondoaje ukweli kwamba uchumi wa Marekani umejengwa kwa ujangili na hivyo kuufananisha na uchumi ambao umeporwa watu wao katika huo ujangili (bila kujali kuwa Waafrika, hususan machifu walishiriki kwenye ujangili huo) ni hoja mufilisi?

Yani Afrika imedumazwa kwa ujangili uliofanywa na wazungu, sehemu nyingi wametumia nguvu hata hawakununua watumwa. Sehemu nyingine wameshirikiana na machifu majangili.

Afrika imedumazwa. Marekani ikaendelea.

Kweli hapo unaona sawa kulinganisha Afrika na Marekani?
 
Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.

Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Excuses,Excuses,Excuses,Excuses
 
Excuses,Excuses,Excuses,Excuses
Hapana. Hii ni simple fact.

Wewe umeshindwa kujenga hoja kwa nini hii ni excuse na si fact.

Unachopinga ni kipi hapo sasa?

Africa haikuporwa watu wake katika biashara ya utumwa?

Jambo hili umelisoma kwa undani au unaliangalia kijuu juu tu?

Umemsoma Walter Rodney katika "How Europe Underdeveloped Africa"?

Umesoma kitabu gani cha wanazuoni kuhusu hii mada?

Au unakwenda kwa hisia zako tu?
 
Kwani nini China ina uchumi mkubwa kuliko Japan na nchi nyingi za ulaya pamoja na Mongolia ?

Unaifahamu historia ya century humiliation ya China ?
 
This logical fallacy is called non sequitur.

You are comparing apples to oranges.

China as a nation haijawahi kutumikishwa katika utumwa ulioichukua nguvukazi yake kwa makumi ya milioni kuwapeleka nje ya China wasirudi tena kwao bila ya wao kupenda.

China as a nation haijawahi kuwa koloni kama nchi za Afrika zilivyokuwa makoloni.

Mbona unakiuka kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu.

Unapolinganisha vitu, linganisha vinavyolinganishika.
 
Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.

Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Umenena mkuu
 
Sahihi
 
This logical fallacy is called non sequitur.

You are comparing apples to oranges.

China as a nation haijawahi kutumikishwa katika utumwa ulioichukua nguvukazi yake kwa makumi ya milioni kuwapeleka nje ya China wasirudi tena kwao bila ya wao kupenda.

China as a nation haijawahi kuwa koloni kama nchi za Afrika zilivyokuwa makoloni.

Mbona unakiuka kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu.

Unapolinganisha vitu, linganisha vinavyolinganishika.
Haah excuses excuses

Vipi kuhusu Israel ?
 
Back
Top Bottom