California, USA 🇺🇸 vs Africa (2023)

California, USA 🇺🇸 vs Africa (2023)

Umezungumzia habari za utumwa na kuhamishwa.

Na ndio nimehoji vipi kuhusu Israel ?
Na mimi nimekuuliza vipi nini kuhusu Israel?

Mbona unaukiza swali kizembe hivyo?

Unachotaka kuuliza kuhusu Israel ni kipi?

Historia ya Israel unaijua?
 
Mbona Israel imeendelea pakubwa ukilinganisha na sehemu kubwa ya Afrika licha ya watu wake kuhamishwa hamishwa na kuishi chini ya utumwa kwa miaka mingi ?
 
Watu wake gani na wameishi kwa utumwa wapi?

Israel ipi? Israel as a state imekuwapo tangu mwaka 1948 tu.

Watu wake wa sasa wengi ni wahamiaji kutoka Ulaya tu hawana uhusiano wowote na hao waliokuwa utumwani miaka mingi.

Hivi hata historia ya Israeli unaijua wewe?
 
Ni wahamiaji hawana uhusiano na eneo lile haah?

Leta historia ya Israel hapa as a state na watu wake
 
Israel as a state imeanza mwaka 1948.

More than 90% of the current Jewish population in Israel arrived there in the last 125 years.

Hawa hawana uhusiani wowote na habari za utumwa.

In fact hakuna myahudi yeyote wa leo anayeweza kukuambia yeye ni wa kabila gani katika yale makabika 12 ya Israel.
 
Watumwa wengi sana walichukuliwa bure, kwa nguvu, kwa kuibiwa.

Kasome kitabu au kaangalie TV series ya "Roots", historia ya familia ya Alex Haiey kutoka kwaKunta Kinte, historia imeonesha watu walivyochukuliwa jwa nguvu Afrika.

Na hata walionunuliwa, hakuna pesa inayokuwa sawa na utu wa mtu.

View: https://youtu.be/Q1GnP6U5JSQ?si=9Ovto2s_IPkqoaiR

Hao hawakuchukuliwa bure mkuu, Machifu walilipwa na kama kuna Chifu aligoma basi walitumia utawala mwingine wa Kichifu kuvamia ule uliogoma ukateka watu na kwenda kuwauzia.
Kilichopelekea ni machifu kugawanyika, kuna maeneo waliendelea kufanya biashara na Waarabu huku wengine wakipendelea kufanya na Wazungu, mfani ni Mkwawa, yeye alikiwa akiwauzia Waarabu hakutaka kabisa kufanya na Wazungu.

Kama kuna kitu Afrika tunapaswa ni kalaumu wale watawala wa kiafrika wa enzi zile. Walikubali deal za kipuuzi kama Mangungo
 
Kuna waliochukuliwa bure na walionunuliwa. Nimegusia yote hapo juu.

Biashara ya utumwa ilifanyika kwa kiasi kikubwa sana Afrika magharibi kuliko mashariki.
 
Israel as a state imeanza mwaka 1948.

More than 90% of the current Jewish population in Israel arrived there in the last 125 years.

Hawa hawana uhusiani wowote na habari za utumwa.

In fact hakuna myahudi yeyote wa leo anayeweza kukuambia yeye ni wa kabila gani katika yale makabika 12 ya Israel.
Kwa hiyo hawana uhusiano na Israel ? Wametokea wapi sasa hawa watu mtaalam na walifikaje ulaya na kurudishwa tena Israel ?
 
Wayahudi waliopo Israel leo ni Wayahudi wa imani. Wametapakaa Ulaya miaka mingi sana mpaka hizo habari za utumwa na Uisraeli zimekuwa za kihistoria zaidi. Hawa ni Wajerumani, wa Ukraine, Warusi etc.

Ninekwambia hakuna Myahudi wa keo anayeweza kukuambia yeye ni kabika gani kati ya makabika 12 ya Israel.

Kifupi mfano wako wa Israel hauhusiki, unafananisha vitu visivyofanana.

Pia Israle as a state imeanzishwa 1948. With heavy US aid up to today.

Israel imeshikilia dunia kwa ujinga wa kuiaminisha dunia kuwa ni "taifa teule".

Chagua mfano mwingine huu si mfano mzuri kwa sababu nyingi sana.
 
Wayahudi waliopo Israel leo ni Wayahudi wa imani. Wametapakaa Ulaya miaka mingi sana mpaka hizo habari za utumwa na Uisraeli zimekuwa za kihistoria zaidi. Hawa ni Wajerumani, wa Ukraine, Warusi etc.

Kifupi mfano wako wa Israel hauhusiki, unafananisha vitu visivyofanana.

Pia Israle as a state imeanzishwa 1948. With heavy US aid up to today.

Israel imeshikilia dunia kwa ujinga wa kuiaminisha dunia kuwa ni "taifa teule".

Chagua mfano mwingine huu si mfano mzuri kwa sababu nyingi sana.
Hatupo hapa kuzungumzia habari za taifa teule mzee acha ngonjera nyingi habari za wayahudi wa kiimani hebu achana nao.

Waliorudishwa baada ya vita vya pili vya dunia walifikaje ulaya na kwa nini warudishwe eneo lile la mashariki ya kati na sio sehemu nyingine

Na nithibitishie hawa hawana uhusiano na Israel achana na maneno matupu tu
 
Habari za taifa teule tutaachaje kuzizungumzia ikiwa Israel inapata billions of US dollars kila mwaka kwa mtaji wa taifa teule?

Nani kakwambia wamerudishwa? Israel Wayahudi wamerudi wenyewe kwa kutaka.

Nimekwambia hivii, nipe Myahudi mmoja wa leo anayejua yeye ni kabila gani kati ya yake makabila 12 ya Israel.

Hujanipa jina hata moja.
 
Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.

Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Mtu tu kukuchukua Utumwa maana yake wewe ni dhaifu.
 
Usilinganishe dunia iliyotumia nguvu za watumwa kwa bure kwa mamia ya miaka, na nchi ambayo watu wake walichukuliwa utumwa kwa mamia ya miaka.

Ukilipia kazi ya watumwa wa kutoka Afrika na interest yake, hiyo hela ya California itakuwa haitoshi kulipia.
Hivi visingizio ndo vinatufanya tulale kwenye umaskini muda wote
 
Marekani waanze sasa kutulipa wamefaidika sana na utumwa.. Trump asilete ujuaji Marekani ipo hapo kwa sababu ya nguvu ya watumwa waliotoka afrika,..
 
▪️GDP
California ~ 3.9 Trillion USD
Africa ~ 3.1 Trillion USD

▪️GDP per Capita
California ~ 100,042
Africa ~ 1,740 USD

▪️Population
California ~ 39.2 Million
Africa ~ 1.4 Billion

▪️Labour Force
California ~ 19.3 Million
Africa ~ 650 Million

▪️Area
California ~ 0.42 Million Sq.KMs
Africa ~ 30.4 Million Sq.KMs

#DataSpeaks
Waafrika akili ni sifuri, bila Wazungu mpaka leo tungekuwa porini na vijumba vya udongo. Bila Wazungu hizi gadgets tunazotumia kupashana habari humu JF tusingekuwa tunaamini kama inawezekana.
 
Habari za taifa teule tutaachaje kuzizungumzia ikiwa Israel inapata billions of US dollars kila mwaka kwa mtaji wa taifa teule?

Nani kakwambia wamerudishwa? Israel Wayahudi wamerudi wenyewe kwa kutaka.

Nimekwambia hivii, nipe Myahudi mmoja wa leo anayejua yeye ni kabila gani kati ya yake makabila 12 ya Israel.

Hujanipa jina hata moja.
Kwani mtaalam unaposema wayahudi sio moja ya makabila kumi na wawili ?

Pia unasema wamerudi wenyewe maana yake ni kuwa walikuwepo kabla si ndio mtaalam ?
 
Back
Top Bottom