Calisah ashikiliwa na polisi kwa kuvujisha picha za utupu za Wema Sepetu

Kwahiyo Wema ndo kaenda kumshtaki?
Kweli dunia haiishi maajabu.
 
Ni kitu gani kinamshinda huyu binti kutulia? Atangawa hiyo bunye yake kama Karanga za kuonjeshwa mpaka lini. Hovyo kabisa, huyu hata nipewe bure siwezi
 
Calisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu
alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande
video ingine! hii hapa
 
Jamani Wema khaaa taabu yote ya nn na hawa watoto wadogo
 
Na yeye ahojiwe, alipiga picha za utupu ili azifanyie nini au azitunze ili aje awaoneshe watoto wake baadae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…