Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuacheni bana tupo kwenye orodha ya wadaiwa SUGU wakati tumemaliza chuo mwaka Jana Na hatuna kazi.
Me niwekeni jela tu Hata bila kesi,
Shame you government
26 /27 Kwa mujibu wa wajuvi wa mambo[emoji23] [emoji23]Hivi wema sepetu ana umri gani....???
Nahisi nywele zangu kama zmefifia hivi, nataka iziongeze brichi kidogo, ziwakeAu ndo yule anaesema nataka ziwake
Hakuna shaka ni jina la kike!Hivi huyo Calisah ndo nani?
Halafu hilo jina mbona ni kama la kike....
duh....miaka haiongezeki....???26 /27 Kwa mujibu wa wajuvi wa mambo[emoji23] [emoji23]