mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Wema kweli maniokooo kama remmy ongala alivoimbaga chaaa calisa kishadate Na jokate wolper gigi money mastaaa wa kike tz n uozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu
alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande
Polisi wamekamata jambazi lenye silaha, haa haa madamu na kasauti chake sijui alizungusha sh ngapi ngapinamuonea huruma wema sa hvi anaruka na huyu mara yule kidogo yukona huyu
unasafisha rungu kwa kabur la wote kaka yule na mtandao anatoa hauwezkuwa star mtandao usitoe
anaitwa Ibrahim mgimbuHivi huyo Calisah ndo nani?
Halafu hilo jina mbona ni kama la kike....
Wema chawote....timing tu mkuuKwani uyu nae alikuwa anabokoa wema
Huwezi sikia anataja hilo jina la kisukumaCalisa ni Model
eti Jina lake halisi ni Shija Kwirasa...
Ndio... Tatizo ushambaShija...? Ni Msukuma?
Calisa ni Model
eti Jina lake halisi ni Shija Kwirasa...
Ukiona manyoya .........Kwani uyu nae alikuwa anabokoa wema
Kwani watoto awana haki yakula vitu vizuri?Nae kazini Hadi na watoto anawavulia