Calisah kufungua duka la kupachika mimba

Calisah kufungua duka la kupachika mimba

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Mwanamitindo asieisha vituko "calisah" amesema 'amekusudia kufungua duka la kuwapachika mimba wanawake wanaopendabkuzaa watoto wazuriwazuri kama yeye'
Bongo bwana bila kiki hapaendi anyway wishing Lucky Mr.

4eb3578009dc79e0a45f97ff307a6e74.jpg
 
Uzi una umaskini mkubwa wa contents, tungependa kufahamu namna mimba hizo zitakavyotungwa, kama ni kwa teknolojia au natural... Hata hivyo vyovyote iwavyo...kuna mkanganyiko mkubwa mno wa kimaadili...na hivyo haitakuwa kazi rahisi...atapaswa kupata...ethical Clarence certificate, kitu ambacho naamini masharti yake ...yatamshinda tu...
 
Hiki ndicho waafrika tulichojaaliwa nadhani.

Angalia black america na weusi wengi wanaoishi nje utakubali kwamba sisi ni watu wa ngono na starehe tu hakuna jema tunawaza, imagine dunia bila mzungu sijui ingekuaje
Uzuri na wanawake zetu weusi nao ni ngono tu kwenda mbele, hivyo poa tu alafu wanawake wetu ndo wenye mikia mirefu race zote!
 
Bora hata mzazi wake alimzaa make asingemzaa huenda angeumwa
 
KALEWA SIFA AU KALEWA HAYO MAFUTA ANAYOPAKWA...?
 
Hiki ndicho waafrika tulichojaaliwa nadhani.

Angalia black america na weusi wengi wanaoishi nje utakubali kwamba sisi ni watu wa ngono na starehe tu hakuna jema tunawaza, imagine dunia bila mzungu sijui ingekuaje
Mbona hayo yapo huko marekani na ulaya?
 
kweli ikifika 2020 wanaume wa shoka tutabaki wachache sana
 
Akili za kivulana hizo.

Afungue tu ili asaidie TRA wakusanye mapato dukani kwake.
 
Back
Top Bottom