Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
no yake please kuna mteja kapatikana....Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana unamlipa, mnafanya kazi ya kupata mtoto.
Na amesema wanawake wengi hufanya mchezo Huu hasa wale wenye wanaume wenye sura zisizokuwa na mvuto
Model huyu alishawahi kutoka na mwanadada Wema Sepetu.
View attachment 609778 View attachment 609779 View attachment 609780
Wana gombania dressing table na dada zao....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndio wavulana wetu wa Sasa acha tupambane nao
Watoto wa kiume wapo hatarini kuliko mabinti....[emoji19] [emoji19] [emoji19]Dunia inaenda mwisho
Ktk nchi za ulaya hiii kitu inafanywa sana ,,ila sio kwa kujitangaza ..mama unaenda kwenye vituo vya sperm bank ,, unatolewa picha ya mwenye speem zen unadungishwa !!.
Nachokiona hapa ,,huyu model anataka apige ndege wanne kwa wakat mmoja.
1/kuvuna pesa.
2/kula nyuchi tofauti tofauti.
3/Kua na baba Wa watoto lkn asohudumia
4/Kuzidi kutrend hapa mjini.
All in all... biashara nimatangazo ILA matangazo yahuyu bwana mdogo laweza kua sehem ya migogoro kwa ** wanandoa matahira**
mh ww jamaa umenichekesha kweliMwambie aendelee kuzalisha tu wake za watu. Iko siku atajua ni kwanini mgomba hautoi mbao za kujengea
Hahah, demu tu anauma, itakuaje mke mkuumh ww jamaa umenichekesha kweli
Hahahhahaa kavunja sheria kifungu no ngapi?Huyu dogo hajielewi, wala haelewi kuwa anaweza ingia matatani na serikali buree!, huyu alitakiwa ile ametoka pale EATV kusema ujinga wake huu anapigwa pingu mlangoni, then safari ys kwenda central