Calisah ni model wa kiume Mwenye kutoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa.

Calisah ni model wa kiume Mwenye kutoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa.

Huyu dogo hajielewi, wala haelewi kuwa anaweza ingia matatani na serikali buree!, huyu alitakiwa ile ametoka pale EATV kusema ujinga wake huu anapigwa pingu mlangoni, then safari ys kwenda central
 
Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana unamlipa, mnafanya kazi ya kupata mtoto.

Na amesema wanawake wengi hufanya mchezo Huu hasa wale wenye wanaume wenye sura zisizokuwa na mvuto

Model huyu alishawahi kutoka na mwanadada Wema Sepetu.

View attachment 609778 View attachment 609779 View attachment 609780
no yake please kuna mteja kapatikana....
 
eti yupo tayari hata kuvaa bikini kama mzigo wa kutosha watamuekea mezani
 
Ktk nchi za ulaya hiii kitu inafanywa sana ,,ila sio kwa kujitangaza ..mama unaenda kwenye vituo vya sperm bank ,, unatolewa picha ya mwenye speem zen unadungishwa !!.

Nachokiona hapa ,,huyu model anataka apige ndege wanne kwa wakat mmoja.

1/kuvuna pesa.
2/kula nyuchi tofauti tofauti.
3/Kua na baba Wa watoto lkn asohudumia
4/Kuzidi kutrend hapa mjini.

All in all... biashara nimatangazo ILA matangazo yahuyu bwana mdogo laweza kua sehem ya migogoro kwa ** wanandoa matahira**

5. Kuliwa kiboga
 
Huyu dogo hajielewi, wala haelewi kuwa anaweza ingia matatani na serikali buree!, huyu alitakiwa ile ametoka pale EATV kusema ujinga wake huu anapigwa pingu mlangoni, then safari ys kwenda central
Hahahhahaa kavunja sheria kifungu no ngapi?
 
Njaa inasumbua huyo, ametunisha misuli Kumbe anatafuta pesa, Vijana Njaa zitawaua
 
Back
Top Bottom