Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mwanaume yoyote yule anayejihusisha na umodo 75% ni shogaa ,25% ana chembechembe za ushoga..Calisah amethibitisha yeye anatoa huduma ya kuzalisha wanawake wenye Pesa, kwa sababu wanawake wengi wanapenda alivyo handsome Kwahiyo mbegu yake ni dili. Kwa mwanamke unayetaka mnakubaliana unamlipa, mnafanya kazi ya kupata mtoto.
Na amesema wanawake wengi hufanya mchezo Huu hasa wale wenye wanaume wenye sura zisizokuwa na mvuto
Model huyu alishawahi kutoka na mwanadada Wema Sepetu.
View attachment 609778 View attachment 609779 View attachment 609780