Difo
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 114
- 189
Habari wana jukwaa.
Wengi kwa sasa tumekutana na either post or habari kuhusiana na ajari. Kwenye mitandao ya kijamii (insta,facebook n.k just to mention few) tunapoteza wapendwa na nduzu zetu kila kukicha na nyingi zinatokea usiku magaro yanagongana ama kupinduka na katoka mazingota kama hayo.
Ukifanya projection vyema
Kwa hali hii ajari ni kama zinaendelea kwa speed sana
Sababu ni nyingi za chanzo cha ajari lakin issue kubwa ni occurence kuwa kubwa mno kuliko siku za nyuma.
Call to Action
Ni muhim vyombo usalama sasa kuchukua hatua hasa kwa madereva wanatembea usiku kuhakikisha wanafanya defensive driving (udereva wa kujihami)
Lakini pia kufanya semina na elimu kwa madereva kupumzika usiku kama si lazima kwa hiyo safari usiku
Nawasilisha