Call to Public Debate- Any Brave Atheist or Atheists


OMG!! introvert
I loved the way you presented your arguments! Couldnt have done it this well!
 
Last edited by a moderator:
So mwisho wa siku unakataa vitu kwasababu tu HUJUI!!!

Hapana, sikatai vitu kwa sababu tu sijui. Bali, kuna mambo mengine nayatilia shaka mojawapo ni hilo la evolution. Kwa kweli maelezo yake hayanishawishi nikubaliane na hiyo nadharia.

au ni cognitive dissonance?

Labda....

au its just as far as your brain can comprehend??

Well labda, lakini pia nadhani nina akili timamu ya kuweza kubaini hoja inayoshawishi zaidi kuliko ile isiyoshawishi zaidi. Na kuhusu hiyo nadharia bado sijashawishika nayo kabisa.


Labda kweli niko mjinga (ignorant) kuhusu hiyo nadharia.

Lakini siko tayari kukubali tu kitu chochote kile niambiwacho ili mradi kiwe na jina la sayansi nyuma yake.

Kwa taarifa yako hata sayansi haina majibu ya kila kitu. Na moja ya vitu ambavyo sayansi haina majibu ya kuridhisha ni hiyo nadharia ya evolution na ndo maana mi namba mikubwa mikubwa inarushwa tu bila umahsusi wowote.

Wewe umeamua kumeza mazima hiyo nadharia. Sawa, hiyo ni haki yako. Mimi kwa upande mwingine naiona ina mapungufu.

Kuanza kuzungumzia mabilioni ya miaka kujenga hoja ya evolution ni kukisia tu. Na huhitaji uwe na uelewa wa ajabu (ambao mimi sina) kujua hilo.

Jaribu tu kuweka mambo katika muktadha, hivi kweli kibinadamu miaka mabilioni wewe unaichukuliaje? Kweli unadhani hiyo nadharia iko testable na ina uwezo wa kutoa matokeo yenye accuracy kubwa?

Naikubali sana sayansi kwenye mambo mengi. Lakini pia nakataa kupofushwa na kila kitu kuhusu sayansi na natambua pia kuwa ina mapungufu na kwamba haina majibu ya kila swali!

Kwa hiyo, licha ya ujinga wangu kuhusu evolution bado kabisa sijashawishika na hayo maelezo ya nadharia yake.
 
Sijui kama unaelewa context ni kitu gani

Umeleta maelezo meengi ambayo hata hayahusiki kwenye swali uliloulizwa

Umeulizwa kati ya atheism na christianity ni kipi ni kweli,hiyo ilikuwa inamaana kuwa mizani inayotumika kupimia ni ukweli kama kuna kisichoenea kwenye mizani hicho kingekuwa sio cha kweli yaani ni uongo,kama vyote havienei vyote vingekuwa ni uongo

Kile ambacho kingeenea ndio kingekuwa ni jibu la swali uliloulizwa,sasa naona danadana nyiingi hata sikuelewi

Tatizo lako wewe unadhani umeulizwa kipi ni imani wakati hilo sio swali,kitendo chako cha kufikiri hivyo ndio kimekupelekea kuanza kuleta "difinisheni" ya imani wakati hata mimi naijua
Nyie watu mna matatizo ya kufanana ndio maana mpo kwenye imani moja,yes imani moja

Context ya swali langu inatokana na context ya jibu lako la "inategemea na unaemuuliza" ukiwa unamaanisha kuwa ukweli ni "kutegemea" unaemuuliza kitu ambacho ni uongo kwani ukweli hautegemei mtu bali ukweli unategemea "ukweli" tu

Nilikuuliza kama unajua maana ya ukweli lakini hukunijibu na hii inaonesha hata hujui maana ya ukweli kitendo kinahikufanya ushindwe kuelewa swali linahitaji majibu ya aina gani
Nadhani kama umenisoma hapo juu na kunielewa hili swali lako limeshajibiwa hapo juu ?
Hapana hujajibu

Swali bado linahitaji jibu,umeulizwa "kati ya imani ya hakuna Mungu a.k.a atheism na Ukristo ipi kweli?
He kumbe wewe unabishana!!!

Haya endelea na ubishani wako ....!!
 
Christianity or Atheism -- whats the Truth?


I am back. Earlier, the discussion was more into Evolution and I chose to get out of the discussion. Some dudes were not being objective and the person who started this thread was acting very immature to say the least.

It seems things changed a bit. Some very interesting questions have been asked. Unfortunately, so far only the atheists or rather ones who debate on the atheism side are being more objective. What are the believers afraid of?

In my opinion, after reading through the comments, I think no one has been able to prove beyond reasonable doubt the existence of God. Of any god for that matter. And to that effect, no one on the Christianity side of the "Christianity or Atheism -- whats the Truth?" debate managed to convince us that Christianity is in indeed the truth. Why can't anyone (Christians) objectively answer the problem of evil?

Taking into account the good arguments and questions raised by Kiranga, introvert, and Eiyer I am inclined to believe that Atheism is in fact the Truth. Atheism is being generally defined as the rejection of belief in the presence of deities and therefore it is safe to say, deities due to their equivocal nature throughout all belief systems show all characteristics of being made up of myth than truth.

I think Epicurus was right. Before posing other questions, say about the problem of hell, I would really love to read a response to the modern version of Epicurus' logical problem of evil:


  1. God exists.
  2. God is omnipotent, omniscient, and omnibenevolent.
  3. An omnibenevolent being would want to prevent all evils.
  4. An omniscient being knows every way in which evils can come into existence, and knows every way in which those evils could be prevented.
  5. An omnipotent being has the power to prevent that evil from coming into existence.
  6. A being who knows every way in which an evil can come into existence, who is able to prevent that evil from coming into existence, and who wants to do so, would prevent the existence of that evil.
  7. If there exists an omnipotent, omniscient, and omnibenevolent God, then no evil exists.
  8. Evil exists (logical contradiction).

Before you lynch me for blasphemy, I challenge you to also read this: God is Imaginary - 50 simple proofs and come back with your comments.
 

Hahahaaaaaaa .....

Ukimhoji anakuambia uko illogical au atakuambia wewe ni ignorance .....

That's how she thinks

Ki ukweli billions of years ni jambo gumu sana kueleweka na haliwezi kuwa testable kisha kuwa observable

Nani anaweza kuleta ushahidi wa yote yaliyotokea billions of years iliyopita?

Hivi watu wanachukuliaje billion of years?

Au wanaona kama ni mwezi mmoja tu?

Au billion of years ina maana tofauti kwenye sayansi?
 
Hahahaaaaaaa .....

Ukimhoji anakuambia uko illogical au atakuambia wewe ni ignorance .....

That's how she thinks

Oh yeah...nazijua sana hizo tricks na huwa sikatai mtu akinambia mi ni mjinga kuhusu jambo fulani kwa sababu ni kweli sijui kila kitu.

Ki ukweli billions of years ni jambo gumu sana kueleweka na haliwezi kuwa testable kisha kuwa observable

Halafu hata lugha itumiwayo na kijumla mno. Unaambiwa tu mamilioni au mabilioni ya miaka. Hupewi namba au miaka mahsusi. Hapana, unapewa tu minamba mikubwa kiujumla halafu unaambiwa ukubali tu kwa sababu ndo sayansi hiyo. Please.....

Is it humanly possible to test and observe anything for such amount of years and get accurate results? Really? That to me strains my credulity.

Nani anaweza kuleta ushahidi wa yote yaliyotokea billions of years iliyopita?

Labda housegirl hahaaaaaa

Hivi watu wanachukuliaje billion of years?

Au wanaona kama ni mwezi mmoja tu?

Na wewe shangaa. Mabilioni ya miaka si kitu cha kurusha tu hovyo hovyo kama kweli una ushahidi wenye nguvu. Ni pale tu ambapo hujui au huna ushahidi wa kutosha ndo unarusha linamba likubwa kama hilo.

Au billion of years ina maana tofauti kwenye sayansi?

You know...labda ina maana tofauti kweli. Ngoja tuwasubiri labda watatupa ufafanuzi.
 

Tofautisha theory na hypothesis!

Evolution is fact! The theory of evolutuon tries to explain the process. Gravity is fact! The theory of gravitationvtries to explain the proceas.

Quantum theory. Tectonic plate theort. Atomic theory. mwishowe mtaanzisha thread kidebunk atoms!

Yes evolution is a conclusion from many fields.

Paleontologist atatuonyesha ushahidi wa fossils (wa kiumbe huyo, wanaomzunguka na mazingira)

Embryologist atatuonyesha mimba ya.viumbe yenye viungo ambavyo hapaswi kuwa navyo lakini ancestor wake alikuwa navyo.

Vestiologist atatuonyesha mabaki ya viungo ambavyo havitumiki lakini kiumbe anavyo kwakuwa karithi genes kwa ancestors wake.

Biochemist atatuonyesha ushahidi wa enzymes, proteins na genes za viumbe kuprove common ancestry.

Geneticist atatuonyesha DNA evidence

Morphologist atatuonyesha ushahidi wa viungo na mpangilio wake kuonyesha common ancestry

Geochemist atatuonyesha jinsi alivyo badilika kulinga na mazingira.
etc

(niliomba nipost essay ya evolution of whales.)

Evolution is a continuos process. haijawahi kuacha. we ukizaa tu hapo umecontribute kwenye evolution.

bacteria na fish resistence mnakataa kuwa ni evolution. maumbo ya ndege na samaki kubadilika mnakataa ni evolution. simply because you are not familiar with genetics. mnataka kesho bacteria awe mjusi¡ ignorance¡ just ignorance
 

kama hauelewi basi! doesnt make it false.

what do you think of a star being 38trillion kilometres away? Au unafikiri they made it up?

Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Labda housegirl hahaaaaaa
Lbda ndio huu hapa chini .......

Hahahaaaaaaa .... hawa watu ni noma!!
 
Nyani Ngabu

umesema " it humanly possible to test and
observe anything for such amount of
years and get accurate results? "

Are you familiar with half life of radioactive elements? Its obvious toe haukuchukua Chemistry form 3 coz me niliisoma form 3
 
Last edited by a moderator:
kama hauelewi basi! doesnt make it false.

And it doesn't make it true, either!

what do you think of a star being 38trillion kilometres away?

First I'd want to know is that an actual measurement or just an approximation. If it's an actual measurement I'd like to know how they got it. If it's an approximation I'll accept it without further questions!

Au unafikiri they made it up?

I'm not sure. What do you think?
 

they ARE approximations with known margin of errors. you think because they approximated 38trillion then it might as well be 38thousand?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…