Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Huyu kijana ninashauri apewe maua yake
Anatusaidia sana wana yanga kwa kweli
Wengi mnammpigia kelele chasambii hamjaona upuuzi wa kamara alioufanya. Hakuna tofauuti na goli la yanga Yeye yuko nyuma yle mpira angeuacha ulikuwa n kona
Hakukuwa na haja ya kurudisha ndan mpira kama umeshajua ukubwa wake.... Maua yakooo kwako camara