Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kinachotokea kwenye uwanja wa mazoezi ndo kinareflect kinachokuwa kinakwenda kutokea kwenye mechi rasmi, mpira auna njia ya mkato au ujanja ujanja vinginevyo utakuumbua adharani na kukuaibisha maana unachezwa adharani kila mtu anaona.
Wazee wa fair competition kazi kwenu.