Cambiasso nao sijui GSM kawapa shingapi ili waikamie Simba?

Joined Julai 2021.
Kwani ni nani aliyekuja FB akawaambia kuwa kuna JF? Hii mitihani imalize tu murudi Shule mukamwagilie Bustani.

Wewe Dogo jifunze kuwa Wakubwazako kuwa hile ni Mechi ya Kirafiki siyo ya Ushindani hivyo Simba haikuwa na chakupoteza.
 
Wewe Dogo jifunze kuwa Wakubwazako kuwa hile ni Mechi ya Kirafiki siyo ya Ushindani hivyo Simba haikuwa na chakupoteza

Joined Julai 2021.
Kwani ni nani aliyekuja FB akawaambia kuwa kuna JF? Hii mitihani imalize tu murudi Shule mukamwagilie Bustani.

Wewe Dogo jifunze kuwa Wakubwazako kuwa hile ni Mechi ya Kirafiki siyo ya Ushindani hivyo Simba haikuwa na chakupoteza.
🤣🤣🤣 eti awakuwa na cha kupoteza, makolo akili zenu naona mmezikabidhi kwa magori, Mara ngapi yanga ilikuwa ikifungwa au kudroo mechi za kirafiki mnamwaga propaganda Kama zote, au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Alafu unaposema ni mechi ya kirafiki mbona aina iyo ya matokeo mmekuwa mnaipata ata kwenye ligi mzee, au na kwenye ligi mnakuwa akuna cha kupoteza? Mngekuwa na matokeo bora kwenye ligi tungesema vinginevyo lakini kule nako bila kadi nyekundu au penalty kwa mpinzani mnaangukia pua tu, na jana ktk magori 2 mliyopata moja ni mkwaju wa penalty otherwise watoto walikuwa wanawaaibisha, ukivuliwa nguo mtu mzima ni bora kuchutama sio ujuaji
 
Nadhani ifike mahala mambo ya Simba mngewaachia wenyewe..mko busy kuwafuatilia kama mnawadai..halafu wenyewe wako busy na yao..acheni uchawi!
 
Sema mbona husemi kama KMKM alikuwa kakukazia juzi kati, umechomoka kinyonge sana dakika za mwisho
 
Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kinachotokea kwenye uwanja wa mazoezi ndo kinareflect kinachokuwa kinakwenda kutokea kwenye mechi rasmi, mpira auna njia ya mkato au ujanja ujanja vinginevyo utakuumbua adharani na kukuaibisha maana unachezwa adharani kila mtu anaona.

Wazee wa fair competition kazi kwenu.

Acha bangi mchambuzi makande!
 
Nauliza tuu ila sio kwa ubaya, hivi nyie uto mliwezaje kukaa misimu minne mfulizo huku timu lenu kikiwa nibovu na kufanya vibaya? Au ndo kama semaji la dunia lilivosema kuwa hamnazo?

Maana ssc fans timu ikifanya upuuzi tunang'oa viti, timu inaboreka. Kutimua kocha asipofikia malengo kawaida sana.

Hivi nyyie uto mliishije kwani? Mana naona mnavokenua leo dizaini kama hiyo furaha mliimic sana eeh?

Kweli uto hamnaga akili ndio mana gemu tano tuu hizi mmeshatangaza ubingwa. Nitabaki simba milele asee ili niheshimike na mke na watoto wangu.
Sasa kama hamna huo uvumilivu ilikuaje mkazidiwa vikombe vyaligi nautopolo
 
Cambiasso dahh umenikumbusha mbari sana mzehe,,,ni bonge la mchezaji kutoka amerika ya kusini,,Argentina.
 
Hiv unajua ulichokiandika kweli?
Joined Julai 2021.
Kwani ni nani aliyekuja FB akawaambia kuwa kuna JF? Hii mitihani imalize tu murudi Shule mukamwagilie Bustani.

Wewe Dogo jifunze kuwa Wakubwazako kuwa hile ni Mechi ya Kirafiki siyo ya Ushindani hivyo Simba haikuwa na chakupoteza.
 
Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kinachotokea kwenye uwanja wa mazoezi ndo kinareflect kinachokuwa kinakwenda kutokea kwenye mechi rasmi, mpira auna njia ya mkato au ujanja ujanja vinginevyo utakuumbua adharani na kukuaibisha maana unachezwa adharani kila mtu anaona.

Wazee wa fair competition kazi kwenu.
makolo fc hawana kitu msimuu huu!!wamechoka sana aisee
 
Sisi mazoezini tumeesha wamaliza Mlandege na Kmkm waliotupania kwa kweli tupo vizuri
FB_IMG_16368500316567633.jpg
 
Nauliza tuu ila sio kwa ubaya, hivi nyie uto mliwezaje kukaa misimu minne mfulizo huku timu lenu kikiwa nibovu na kufanya vibaya? Au ndo kama semaji la dunia lilivosema kuwa hamnazo?

Maana ssc fans timu ikifanya upuuzi tunang'oa viti, timu inaboreka. Kutimua kocha asipofikia malengo kawaida sana.

Hivi nyyie uto mliishije kwani? Mana naona mnavokenua leo dizaini kama hiyo furaha mliimic sana eeh?

Kweli uto hamnaga akili ndio mana gemu tano tuu hizi mmeshatangaza ubingwa. Nitabaki simba milele asee ili niheshimike na mke na watoto wangu.
Shemeji namjua huyo anakuzuga tu hawezi kuwa Makolo hata siku moja, hebu jaribu kutafiti mkuu
 
Mahali pa "h" anaweka "a" na kinyume chake.
Watu kama hawa mie wananikera kwelikweli! yaan wamekaa kike kike tu! hawawezi kujikaza! mtu anaandika ela badala ya hela! uku badala ya huku! awa badala ya hawa! hivi wanaume wa dar wapoje mazee? wakaze matako waache kujilegeza tutawakonyeza pambaf.
 
FT
Simba SC 1 _ 3 kitayosa
⚽ Joseph DK 12⚽⚽tshishimbi 41_75
⚽ Majiwe Pablo Franco bado anakibarua kizito ili kupata kikosi cha wachapa kazi .
 
Back
Top Bottom