Cambiasso nao sijui GSM kawapa shingapi ili waikamie Simba?

FT
Simba SC 1 _ 3 kitayosa
⚽ Joseph DK 12⚽⚽tshishimbi 41_75
⚽ Majiwe Pablo Franco bado anakibarua kizito ili kupata kikosi cha wachapa kazi .
Hiyo mechi imechezwa uwanja gani?
 
Mashujaa fc
Green warriors fc
Na sasa Cambiasso dah
Makolo muli bwanji babaa
 
Hiyo mechi imechezwa uwanja gani?
Kwani ya Kambiasso mlitoka na kusema ilichezwa uwanja gani?? Si Mlijifanya "HAMNAZO" hivohivo kama vile hakukuwa na mechi, maumivu yalipozidi mkajitokeza wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom