Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwani kabla ajaja walikuwa wanapata matokeo yapi ebu tuambieMechi ya Kocha kuwajua Wachezaji wake, sasa mnahukumu nini?.
Mahali pa "h" anaweka "a" na kinyume chake.Jifunze kwanza kuandika ndiyo urudi kwenye jukwaa hili.
maneno kama "ela na adharani" yanatia kichefuchefu
Mkuu jitahidi kuandika kwa umakini upunguze makosa.Jibu hoja iliyopo ndo maana rage akawaita mbumbumbu akukosea, hoja iliyopo apo sio suala la uandishi lakini inaonyesha majibu ya kuijibu hoja husika ayapo mnabaki kuamisha mada, Ok ngoja tuone makosa ya uandishi wangu kama ndio yatawakomboa uwanjani mtakapokuwa mnachezea vitasa lakini mfunge mabakuli yenu atutaki kuwa tunasikia ngonjera zenu apa za kukamiwa wakati timu yenyewe ni tripu shamba tripu gereji
ajaja =hajaja , mkuu au unaandika kitoto?Kwani kabla ajaja walikuwa wanapata matokeo yapi ebu tuambie
Hahaha Simba vs Aston Villa mlipigwa za kutoshaWabongo hatujui mpira, mechi za kirafiki mbona sio ishu, liverpool, man city, bayern munich na timu kubwa karibu zoote huwa wanapata matokeo km haya wakati mwingine, sio kesi.
Sasa mpk afike stage ya kuwajua hao wachezaji vzr, tayari mtakuwa mmeshuka daraja tayariMechi ya Kocha kuwajua Wachezaji wake, sasa mnahukumu nini?.
Basi mjiandae kuwa na maumivu kwa misimu mitano ijayo na sio msimu huu tuuNauliza tuu ila sio kwa ubaya, hivi nyie uto mliwezaje kukaa misimu minne mfulizo huku timu lenu kikiwa nibovu na kufanya vibaya? Au ndo kama semaji la dunia lilivosema kuwa hamnazo?...
Hata kama una hoja mwandiko mbaya unachangia mada ionekane ya hovyoJibu hoja iliyopo ndo maana rage akawaita mbumbumbu akukosea, hoja iliyopo apo sio suala la uandishi lakini inaonyesha majibu ya kuijibu hoja husika ayapo mnabaki kuamisha mada, Ok ngoja tuone makosa ya uandishi wangu kama ndio yatawakomboa uwanjani mtakapokuwa mnachezea vitasa lakini mfunge mabakuli yenu atutaki kuwa tunasikia ngonjera zenu apa za kukamiwa wakati timu yenyewe ni tripu shamba tripu gereji
Naomba uniambie ni lini mara ya mwisho Bayern, Liverpool au man City alitoa draw mechi kirafiki na timu ya AcademyWabongo hatujui mpira, mechi za kirafiki mbona sio ishu, liverpool, man city, bayern munich na timu kubwa karibu zoote huwa wanapata matokeo km haya wakati mwingine, sio kesi.
Uko sahihi kabisa, mechi za kirafiki ni kipimo tu cha kuona wapi pana mapungufu uongeze wapi pako vizuri uimarishe.Wabongo hatujui mpira, mechi za kirafiki mbona sio ishu, liverpool, man city, bayern munich na timu kubwa karibu zoote huwa wanapata matokeo km haya wakati mwingine, sio kesi.
Makosa tu ya kiuandishi, we umeona hiyo alama ya mkato ulipoiweka!? Nyani haoni kundule. [emoji23][emoji86]ajaja =hajaja , mkuu au unaandika kitoto?
Fuatilia game zao za pre season ndio utaelewa.Naomba uniambie ni lini mara ya mwisho Bayern, Liverpool au man City alitoa draw mechi kirafiki na timu ya Academy
Wachezaji wa Simba wanawakilsha timu zao za Taifa...cambiaso alicheza na kikosi B chenye baadhi ya wachezaji wachache wa SImba A...Simba wakiamua kucheza mechi za kirafiki hawatafuti wala urojo wataenda Zambia ama nchi nyingine kubwa kubwa katika soka la AfricaNi mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kinachotokea kwenye uwanja wa mazoezi ndo kinareflect kinachokuwa kinakwenda kutokea kwenye mechi rasmi, mpira auna njia ya mkato au ujanja ujanja vinginevyo utakuumbua adharani na kukuaibisha maana unachezwa adharani kila mtu anaona.
Wazee wa fair competition kazi kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole koloWachezaji wa Simba wanawakilsha timu zao za Taifa...cambiaso alicheza na kikosi B chenye baadhi ya wachezaji wachache wa SImba A...Simba wakiamua kucheza mechi za kirafiki hawatafuti wala urojo wataenda Zambia ama nchi nyingine kubwa kubwa katika soka la Africa