Waziri Mkuu wa Cambodia amesema kuwa lengo kuu la mazungumzo yanayotarajiwa kufanyika leo July 28, 2025 na Thailand ni kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano mara moja kufuatia mzozo mkali wa mpaka uliogharimu maisha ya watu. Hata hivyo, Waziri Mkuu wa Thailand ameonyesha mashaka kuhusu dhamira ya dhati ya Cambodia kabla ya mazungumzo hayo kufanyika nchini Malaysia
Mazungumzo hayo, ambayo yanatarajiwa kumaliza mapigano mabaya zaidi kuwahi kutokea kati ya majirani hao wa Asia ya Kusini-Mashariki kwa zaidi ya muongo mmoja, yameandaliwa na Malaysia inayoshikilia uenyekiti wa jumuiya ya kikanda ya ASEAN. Waziri Mkuu wa Cambodia, Hun Manet, amesema kuwa mazungumzo hayo yamepangwa kwa kushirikiana na Marekani, huku China pia ikitarajiwa kushiriki
Cambodia na Thailand kila mmoja anamtuhumu mwenzake kuanzisha mapigano hayo wiki iliyopita na kisha kuyachochea zaidi. Siku ya Jumatatu, maafisa kutoka pande zote mbili walithibitisha kuwa mapigano katika eneo la mpaka yanazidi kuendelea huku mazungumzo yakitarajiwa kufanyika baadaye siku hiyo
Cambodia imekanusha vikali tuhuma kutoka Thailand kuwa imekuwa ikilenga raia katika mashambulizi yake, na badala yake inaituhumu Thailand kwa kuhatarisha maisha ya watu wasio na hatia. Imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kulaani vikali hatua ya Thailand kuihusisha na mashambulizi ya uchokozi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje watatoa msaada katika juhudi za kutafuta amani, baada ya Rais Donald Trump kusema awali kuwa anaamini viongozi wa pande zote mbili wanataka kumaliza mzozo huo kwa njia ya maelewano
Vita kati ya Thailand na Cambodia zimeongezeka tangu kuuawa kwa askari wa Cambodia mwishoni mwa mwezi Mei wakati wa mapigano ya ghafla. Vikosi vya ulinzi kwenye pande zote mbili viliongezwa, jambo lililozua mzozo mkubwa wa kidiplomasia uliotikisa utawala wa mseto wa Thailand hadi karibu kusambaratika
=====
An immediate ceasefire in a deadly border dispute is the purpose of talks with Thailand on Monday, Cambodia's Prime Minister said, but his Thai counterpart said there were doubts about Cambodia's sincerity ahead of the negotiations in Malaysia
Monday's talks to end the deadliest fighting in more than a decade between the Southeast Asian neighbours are being hosted by Malaysia, the chair of the regional ASEAN bloc. Cambodian Prime Minister Hun Manet said the talks were co-organised by the United States, and that China would also take part in them
Both Thailand and Cambodia accuse the other of starting the hostilities last week and then escalating them. On Monday, officials from both countries said clashes along the disputed border were ongoing ahead of the talks later in the day
"We are not confident in Cambodia, their actions so far have reflected insincerity in solving the problem," acting Thai Prime Minister Phumtham Wechayachai told reporters ahead of his departure for Kuala Lumpur.
"Cambodia has violated international law, but everybody wants to see peace. Nobody wants to see violence that affects civilians"
Cambodia has strongly denied Thai accusations it has fired at civilian targets, and has instead said that Thailand has put innocent lives at risk. It has called for the international community to condemn Thailand's aggression against it
"The purpose of this meeting is to achieve an immediate 'ceasefire', initiated by President Donald Trump and agreed to by the Prime Ministers of Cambodia and Thailand," Hun Manet said in a post on X as he departed for the talks
U.S. Secretary of State Marco Rubio said State Department officials would assist the peace efforts, after President Donald Trump had earlier said that he thought both leaders wanted to settle the conflict
The tensions between Thailand and Cambodia have intensified since the killing in late May of a Cambodian soldier during a brief skirmish. Border troops on both sides were reinforced amid a full-blown diplomatic crisis that brought Thailand's fragile coalition government to the brink of collapse
Malaysian Prime Minister Anwar Ibrahim had proposed ceasefire talks soon after the border dispute erupted into conflict on Thursday, and China and the United States also offered to assist in negotiations
Source: Reuters