Cameroo: Ashinda $22m kampuni ya 1xbet yafuta account yake

mi kubeti kwe sites zanje huwa nasita sana coz ikitokea wamekuzingua unadhulumiwa kirahisi tu, atleast huyo amenda ofisin kwao wamemuoffer anachostahili kulingana na terms, kuna jamaa angu alipiga dola 7000 site flan hivi ya nje walimzungusha vitambulisho sijui nn akatuma wee mwshowe wakamruhusu atoe pesa sema hakujifunza akaendelea nao siku moja akapiga km dola 9000 hivi tena kwa stake ya kiboya tu we walimzungusha hatari mwishowe hata emails wakawa hawajibu tena, jamaa toka siku hiyo habeti tena sites za nje ambazo hazijasajiliwa hapa
 
Vigezo gani?
kila kampuni ina vigezo na masharti ambavyo inabd uvisome na kuvikubali kabla ya kujisajiri na karibu kila kampuni ina maximum amount mtu unayoweza win, kuna kampuni nyngne zinakwambia zinaweza funga akaunti yako bila sababu au taarifa-wakiona unawapiga sana kupitiliza wanafunga akaunti awataki tena
 
Huo ndo utapeli
 
Hapo kwenye maximum amount nahisi hua iko fixed hata uweke shingap kama Ni m10 ndo hiyo hiyo haizidi hapo
 
Huo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…