nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
mi kubeti kwe sites zanje huwa nasita sana coz ikitokea wamekuzingua unadhulumiwa kirahisi tu, atleast huyo amenda ofisin kwao wamemuoffer anachostahili kulingana na terms, kuna jamaa angu alipiga dola 7000 site flan hivi ya nje walimzungusha vitambulisho sijui nn akatuma wee mwshowe wakamruhusu atoe pesa sema hakujifunza akaendelea nao siku moja akapiga km dola 9000 hivi tena kwa stake ya kiboya tu we walimzungusha hatari mwishowe hata emails wakawa hawajibu tena, jamaa toka siku hiyo habeti tena sites za nje ambazo hazijasajiliwa hapa