binafsi nawapongeza cameroon kwa hatua walioifikia,kwani ni timu inayoundwa na vijana wengi wasio na majina makubwa,ila ni nafasi kwetu watanzania kujifunza,kuhusu @EddoKumwembe ule ni mtazamo wake na maoni yake
Cameron ni timu kubwa afrika miaka yoteCameroon ni wazuri na wamekuwa wakiimarika kila mechi na pia kumsoma adui kwa haraka sana.
Viva Indomitable Lions...!
Defe nse ya insanity kwa hiyo inahusika? Penal code kifungu nambaaaa. Ddd. DddddddEddo mara nyingi anaropoka, hana weledi katika maisha yake. Yawezekana aliandika ikiwa mwezi mchanga kwake msameheni.
Ukitaka kuelewa soka vizuri msome Edo kisha mpuuze.
Jana Cameron imeongeza msisitizo wa majibu yake kwa edo.Kushika peni na kushka maick ntu vwilitofaut abaki kwenye peni tu
akiba ya maneno muhimu.......amejisahisha kiana kwenye mwanaspot ya leo