Cameroon imemjibu Edo Kumwembe kwa kufuzu fainali

Cameroon imemjibu Edo Kumwembe kwa kufuzu fainali

amejisahisha kiana kwenye mwanaspot ya leo

binafsi nawapongeza cameroon kwa hatua walioifikia,kwani ni timu inayoundwa na vijana wengi wasio na majina makubwa,ila ni nafasi kwetu watanzania kujifunza,kuhusu @EddoKumwembe ule ni mtazamo wake na maoni yake
 
Kushika peni na kushka maick ntu vwilitofaut abaki kwenye peni tu
 
pongezi kwa indomitable lions wamethubutu na kuweza kudhihirisha umoja ni nguvu,mabingwa hao wa AFCON 2017 wamepambana hadi sekunde ya mwisho kulipiza kisasi kwa mapharao,kinachovutia ni pale wachezaji wenye majina makubwa kuisusa timu ya taifa lao kwa ajili ya maslahi binafsi,kwa sasa wanaumia moyoni kutokuwemo kwenye historia ya ubingwa wa tano kwa taifa la cameroon,ila kwa upande wa pili wamewanufaisha chipukizi wao!!!TFF ina la kujifunza kuboresha soka la tanzania
 
hongera sana kwa Cameron kwa ubingwa kwa kweli mmepambana vya kutosha.
 
Back
Top Bottom