PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
- Thread starter
-
- #41
haaaaaaaaaa. Unanikumbusha Mzee ndolanga huyu mzee mpaka kumgoa pale TFF zamani FAT ilibidi itumike Nguvu ya Ziada. Tehe. Tehe."Asavali" tufungwe tu sasa ili Jamal Malinzi atupishe..joking!!!
Tutake radhi please,kama huna akili niwewe
2-2, ilikuwa moja kati ya mechi kaliWakuu hivi ureno na mexico ngap ngap?
Kabisa aisee.Cameroon atagongwa hii game, ni suala la muda tu
0-0Wakuu hivi ureno na mexico ngap ngap?
kameroon wamekosa mbinu za mchezo.Kipindi cha pili kiukweli mechi imekua inavutia, si ya upande mmoja kama mwanzo.