Cameroon vs Chile live TV1

Cameroon vs Chile live TV1

naona yule kijana wa mzee wenga Analiamsha Dude Nje.
 
Naona walau sahivi cameroon wanapanda panda langoni kwa mahasimu wao.
 
naona kocha anampa maujanja kijana wa mzee wenga jinsi ya kutushugulikia, haya kaingia sasa Muda siyo mrefu nitarudi kutoa mrejesho kijana hatari sana.
 
Cameroon hebu mjikaze bana
Mstuletee aibu tena
 
Back
Top Bottom