Tayari Cameroon ashachezea kimoko...Mkuu mie naiona kama mechi ya sale tu..maana hiyo tecnolojia ya video inaifanya mechi ibaki kuwa sale.
Naona baada ya kuishikilia kwa muda mrefu atimae kaiachilia.huyu kipa ndio kaishikilia cameroon.
Asante
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umejuaje washapigika mojaRest in peace Cameroon
KachokaNaona baada ya kuishikilia kwa muda mrefu atimae kaiachilia.
Inapoteza ladha kwa washangiliaji kabisaaTechnology ya video Ni upuuzi mtupu nyambafu
Technology ya video Ni upuuzi mtupu nyambafu