Cameroon vs Chile live TV1

Cameroon vs Chile live TV1

Tatizo foward ya Cameroon.
Wachezaji hawaachii mpira kwa wakati.
 
haaaaaaaaaaa. Imenibidi ni cheke kwa unyanyasaji huu wa kijana wa mzee wenga!
 
Duuu kumbe waneachia! Halafu huyo Arturo simpendi maana alitaka kuiharabia Real Madrid kwenye Uefa vs Bayern
 
Tangu aingie sanches mashambulizi yamekuwa makali.
 
Chile wanapata goal la pili. Africa bado tuna safari kwa kweli.
 
hii technology ya video inapunguza ladha ya soka aisee
 
Kulikuwa hakuna namna Cameroon kuepuka kichapo leo...
 
Technology ya video Ni upuuzi mtupu nyambafu

Mbona ipo poa tu...timu nyingi zilikuwa zikionewa kwa kukosekana uamuzi makinifu...

Sheria ya ajabu niliyopata kuiona na bora ilifutwa haraka ni ile ya goli la dhahabu daaah...(ingawaje niliipenda wakati mmoja tu ambapo Senegal ilimtwanga Denmark na kuichukia zaidi hatua iliyofuata kwa Turkey kuitoa Senegal...)
 
Back
Top Bottom