Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana

Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini

Shirika la kutetea haki za Vyombo vya Habari la #ReportersWithoutBorders limetoa wito kwa Mamlaka kufanya Uchunguzi huru kuhusu Mauaji hayo, na kuyaita pigo kubwa kwa #Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya Habari

.................................

Cameroonian journalists have called for more protection following the murder of their colleague Martinez Zogo, who was a critic of the government.

Mr Zogo’s multilated body was found near the capital, Yaoundé, on Sunday, five days after being abducted by unknown people.

Prior to his death, he had threatened to expose corruption in government.

Media rights group Reporters Without Borders called on the authorities to conduct an independent investigation into the killing, calling it a “grave blow to democracy and press freedom”.

“We urge the Cameroonian authorities to conduct an independent investigation that does not falter, and to end the climate of violence against media personnel,” it said.

The government spokesman said an initial investigation revealed the the journalist had been tortured. Rene Emmanuel Said said the killing was “barbaric and unacceptable”

Source: BBC
 
Uandishi wa kupambana na serikali Africa ni mgumu sana.

Serikali ni lidude fulani katili.

Jifunzeni, HAKI ni kiimani tu mengine tafuteni Pesa.
 
Back
Top Bottom