Cami vs vitz vs Sienta vs spacio

Cami vs vitz vs Sienta vs spacio

GO FOR CAMI my friend, Spacio nzuri sana kwa muonekano but kwa matumizi ya barabara zisizo na lami ni tatizo. hii ni sawa na VITS.

Cami ni gari ngumu sana, ipo juuu, pia spare zipo nyingi tuu. Na nikujuze RUSH ni new model ya CAMI. Cami sikuhizi hakuna ila ndo hizo rush so gharama za rushi zipo juu kidogo. hivyo endapo utashindwa nunua rush nakushauri nunua Cami.

binafsi nina CAMI nazunguka nayo mjini, napiga nayo safari za moshi kama sana na kuzingatia mazingira ya moshi vijijini. CAMI yangu inamiaka 6 sasa na sina mpango wa kuuza
 
sport car
Hakuna sport car ya engine ndogo hivyo mzee baba! Ukizungumzia Sport Car anzia walau kwenye TWIN TURBO V8's kuna V10 kama Lexus LFA kisha kuna V12's!

Kuna gari ukivuta mafuta ndani ya sekunde 4 shafika speed 120Km/h. Angalia mshale wa sekunde wa saa yako, ukipiga mara 3 tu gari inasoma speed 100 tayari! Hapo ndio tunapozungumzia sport cars!
 
engne 1.3L, High performance, space ya kutosha ndan
RS ni 1.5L mzee baba! Inshort ni engine ya Spacio imefungwa kwenye vits. Power to weight ratio ndio inafanya hio gari ionekane ina performance ila hamna maajabu zaidi!

Ni sawa na mtu afunge engine ya landcruiser V8 kwenye suzuki! Lazma itaongezeka perfomance maana uzito mdogo engine ina pulling kubwa!
 
GO FOR CAMI my friend, Spacio nzuri sana kwa muonekano but kwa matumizi ya barabara zisizo na lami ni tatizo. hii ni sawa na VITS.

Cami ni gari ngumu sana, ipo juuu, pia spare zipo nyingi tuu. Na nikujuze RUSH ni new model ya CAMI. Cami sikuhizi hakuna ila ndo hizo rush so gharama za rushi zipo juu kidogo. hivyo endapo utashindwa nunua rush nakushauri nunua Cami.

binafsi nina CAMI nazunguka nayo mjini, napiga nayo safari za moshi kama sana na kuzingatia mazingira ya moshi vijijini. CAMI yangu inamiaka 6 sasa na sina mpango wa kuuza
habari kaka naomba nipe maelezo mawili matatu ya hii gari kwa muda wote uliokaa nayo na bei za vipuri vyake ziko vp
 
habari kaka naomba nipe maelezo mawili matatu ya hii gari kwa muda wote uliokaa nayo na bei za vipuri vyake ziko vp
Kwa Uelewa wangu: Cami ni gari Nzuri, kwa uimara, na ipo juu kidogo na hivyo kuweza kupita barabara za Vumbi ambazo nyingi zina makorongo; kuna za 4wheel na 2 wheel chaguo ni lako. Kwa watu wa kawaida ni nzuri pia kwa kuwa spare zinapatikana. Kwa ndani sio pana hivyo inaweza kubeba watu wanne walio kaa ila wakijibana au kama ni wembamba) watakaa watano
ILA kwa wanao penda kukimbiza kms 80+ hii gari sio nzuri kwani sio pana ila refu kwa kwenda juu hivyo, ukikimbia ukakwepa kitu au kwenye kona kali ni rahisi kupinduka. Lakini pia kwa vijana wanao penda fasheni hii ni fasheni ya nyuma

Spacio ni gari ya Kisasa; sio nzuri sana kama barabara zako nyingi ni za vumbi ila kwa watu wa mjini ni gari nzuri sana; kwenye lami unaweza kwenda speed yoyote kwani ni pana, refu kidogo na sio refu kwenda juu. na Spare pia zipo . Inaweza kubeba watu hadi 7 waliokaa ( zipo pia za 4wheel na 2 wheel)
 
Back
Top Bottom